Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Inawezekana hii ni chai iliyopikwa juzi ikawekwa kwenye chupa kwa siku kadhaa,sasa umeamua tuinywe,iwapo ni tukio la kweli,Huoni kama wewe bado tunakuona fala,sababu wewe ndio ulianza kuchapiwa,badala utafute jibu kwanini mkeo alikusaliti unaanza hangaika na visasi.
Sasa wewe ukiniona fala unafikiri mimi napingukiwa nini? Endelea kuniona fala hivyohivyo ila mimi nimeshalipa kisasi,bila shaka mwizi wangu utakuwa wewe,kamkague mkeo
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Umeenda kutupa DNA yako kwa sababu ya kulipa kisasi cha kijinga?
 
umekosea unatakiwa uchukue kabisa ili awe wako kama wewe na mke wako hamjaona
 
Mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa..." mwisho wa kunukuu". Huyu mme wake sijui alikua ananyandua jini! Story za uongo siku zote usipokua makini! Utaumbuka tu mwishoni! Bongo movies! Jambazi anavamia,then kuingia ndani anavua viatu
Pole sana mkuu bado mtoto weye
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Kwa hiyo umefurahi kwenda kinyume na maandiko Matakatifu yanayosema tusilipe kisasi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom