Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Mimi sijaelewa pia. Sasa kama alikuwa bikra si inamaana hatoi gemu kwa mumewe wa ndoa sasa akimuoa wa kazi gani?!

Sasa mbona ana mlaumu mumewe kutoka nje, sasa kama hampi alikubali kuolewa ili iwaje?!
Utoto raha sana kua uyaone
 
ukiona mkeo kachapwa nje ujue hakupendi.....so visasi havikusaidii......."kama alivyozaliwa" labda kama ni 071............ pumbafu wewe....
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Utakuwa wewe ni pimbi tu!
 
ukiona mkeo kachapwa nje ujue hakupendi.....so visasi havikusaidii......."kama alivyozaliwa" labda kama ni 071............ pumbafu wewe....
Bumbafuuu menyewe,basi ndio hivyo mke wangu hanipendi Ila mkewe kanipenda.
 
Muda mwengine bangi inaweza kumdanganya mtu akajihisi kalipa kisasi kumbe ndio kwanza anajiongezea matatizo yajayo!
 
Acha kujisifia ujinga,mwanaume kamili hawezi kufanya huo upuuzi na kuja kujitapa hapa,kiufupi umefanya jambo la kijinga sana na kama unabisha mwambie mme mwenzio kwamba umemkomoa kwa kutembea na mke wake uone itavokuwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom