Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Zote hizi ni jezi za wazinzi tu, tofauti ni majina ya watengenezaji...
Msiikaribie Zinaa.
FAMILY PLANNING PEOPLE....!!!!!!!:israel:
Zote hizi ni jezi za wazinzi tu, tofauti ni majina ya watengenezaji...
Msiikaribie Zinaa.
Maduka gani hapa dsm.
Mmmh, me bado sijaanza hiyo michezo, nasubiri hadi nifike 35 ndo nioe na nianze rasmi, ila ngoja niwe napata theory kimtindo hapa
Loh omba ata usifike hiyo 35
FAMILY PLANNING PEOPLE....!!!!!!!:israel:
nimemuweka bulldog mwenyewe sasa.Hahahaa, na wewe mbona umeweka mashine ya maana hapo sjui kitu Mark XIX, Desert Eagle! wacha nimwache kwanza mzee mzima Rick-Ross a.k.a Freeway Ross atulie hapo anikumbushe thick and thin za hustling! au unaniambiaje mkuu?
dah, ama kweli avatar ni utambulisho kama sura ya mtu, hapo sasa umeonekana ni wewe Bulldog wa kila siku. Ngoja kwanza nikae na hii wiki moja nione mrejesho, huenda mkaizowea tu mkuu.
Sitaki kukumbuka salama kondom ilivyonitenda nilipokua na sex na changu yule. Niliishi kwa presha mie miez mitatu wasiwasi haunishi
Ilikupasukia nini mkuu. Ha Ha Haa inabidi uvae mbilmbili shehe.Sitaki kukumbuka salama kondom ilivyonitenda nilipokua na sex na changu yule. Niliishi kwa presha mie miez mitatu wasiwasi haunishi