Everyone hates condoms; How to love them!

Hizo ndom zinauzwa bei gani?
isijekuwa buku teni,na hizi mvua zinazoendelea yani kila siku nitoe ten hiyo bajeti nyingine sasa

bei ni karibia sawa tu na hizi zingine, pakti ya pc 24 inauzwa kama 38,000/=, ukipiga hesabu hapo unaona 3pc zitasimamia kama elf 4 hivi, sawa tu na hizo zingine madukani, (ukiondoa za ruzuku..lol). Hizi ziko engeneered vizuri, watu walio sensitive na condoms zinafaa sana, nani hapendi joto la nyama jamani!!! Kwa watu kwenye ndoa wengi wanaenda kavu tu lakini mama anatumia njia zingine za uzazi wa mpango kama vidonge na nyinginezo, kuna wengine hizo njia zinawaletea maudhi hivyo wanatumia condoms siku za hatari, au wewe kila siku ni danger mtu wangu?!!
 
Ila, Kwa dharula.
Sio mimi, Maandiko hayo.

KUMB 22:5 "Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu...
 
pole sana dada, lakini mbona thread ya kawaida hii mihemko inakujaje mkuu?

1TIMOTHEO 5:6 "Bali yeye asiyejizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hai". KWA JINSI YA MWILI U HAI, ILA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI MAITI INAYOTEMBEA.
 
Kila mtu hutamani, ila sharti uwe na break, jizuie kutenda dhambi.
 
1TIMOTHEO 5:6 "Bali yeye asiyejizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hai". KWA JINSI YA MWILI U HAI, ILA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI MAITI INAYOTEMBEA.

unamaanisha nini, tusisex?
 
Pic

before and after using condoms
 
Attachments

  • BBC.jpg
    BBC.jpg
    30.8 KB · Views: 194
bei ni karibia sawa tu na hizi zingine, pakti ya pc 24 inauzwa kama 38,000/=, ukipiga hesabu hapo unaona 3pc zitasimamia kama elf 4 hivi, sawa tu na hizo zingine madukani, (ukiondoa za ruzuku..lol). Hizi ziko engeneered vizuri, watu walio sensitive na condoms zinafaa sana, nani hapendi joto la nyama jamani!!! Kwa watu kwenye ndoa wengi wanaenda kavu tu lakini mama anatumia njia zingine za uzazi wa mpango kama vidonge na nyinginezo, kuna wengine hizo njia zinawaletea maudhi hivyo wanatumia condoms siku za hatari, au wewe kila siku ni danger mtu wangu?!!
2*3*7= 42 matumizi yangu kwa wiki
inamana nahitaji pakti 2
duh garama
 
oh, nimekusoma mkuu, lakini condom mpaka kwenye ndoa zinatumika!
ni kweli kabisa mpwa ndio maana bado nakuomba upunguze bei usaidie na sie wanandoa hata wakijifungua
si unajua aturuhusiwi kumwaga ndani ati mnaita

kubemenda
 
Back
Top Bottom