dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,475
- 2,078
KUMB 22:5 "Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu...
Ni kweli.
Lakini, Dhararura(na maanisha dhambi anayoweza kuifanya mja )
Maandiko hayohayo yanasema akitubu atasamehewa, ama sio??
Basi, Kama imetokea dharula, ukateleza kisha ukatubu,
Maana yake ni-kuwa umeikaribia dhinaa kwa dharula-Nimemaanisha hivyo.
Tuwanadamu sie na hili haliepukiki.
Sina nia wala lengo lakubadili maudhui ya uzi huu ila sitakuwa tayari kuendelea kujadili kipengele cha hoja tunayoijadili sasa hapa kulinda mantiki ya mleta Uzi.
Cc.FaidaFox.