CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
Kuna thread nimeiona humu, Matokeo1 analalamika condom zinafanya mashine yake isisimame, nimeona nifungue thread hapa kushare na wadau wote baadhi ya condoms bora na uzuri wake, kama na wewe una experience na aina fulani unaweza kutupia hapa.
ACHENI KUTUMIA MICONDOM ya kijinga hii wanayoleta sjui psi, sjui ile ya kutoka uganda, sijui rough rider, sjui camasutra, acheni! Mimi kikawaida ni kama nina mzio na condom, sizipendi vibaya mno, yaani nikivaa ninaona kama imebana mno kiasi siwezi kuenjoy sex, kwa hiyo mara nyingi siwezi kuzitumia (condom zinaudhi jamani, kwa wanaume na wanawake), ikibidi sana kusex na mtu nisiyemfaham/kumwamini basi ninazo condom zangu za akiba ambazo at least huwa najiskia fresh nikitumia, baadhii ya brand ambazo huwa nazitumia na nina experience nzuri nazo ni hizi;
Trojan Naturalamb- (Angalizo, hizi hazizuii magonjwa ya zinaa ni kwa ajili ya kuzuiya mimba tu kwa wanandoa au wapenzi wanaoaminiana, ni nyembaba kupita kiasi na zina waterbase lubs, ni nzuri mno kwa family, bei yake imesimama pia).
Lifestyle skyn hazijatengenezwa kwa mipira hii ya latex, ni material tofauti sana, harufu yake siyo ya kuuddhi, na mafuta yake sijui yakoje siyo kama ya condom za kawaida na hayakauki na kuumiza. Hizi ni condom nyembamba mno yaani unaweza hata usijue umevaa conddom, joto la miili linakutana kirahisi na hivyo experience ya nyama kwa nyama iko karibu sana.
Trojan Bareskin
Hizi na zenyewe ni nyembamba mno you wont know its there, hazina harufu, na zina kichuchu kikubwa kwa mbele kwa hiyo mdomo wa dushelele unakuwa haubanwi.
Guys, kuweni makini sana na aina za conddom mnazotumia, hizi zingine mtaumiza dushelele zenu tu, yaani nikivaa salama ndiyo kabisaa bao moja tu mashine inauma utafkiri ilikuwa inabeba vyuma......aaaaaaaaargh!
NB: Usiweke condom zako kwenye mfuko wa jinsi ya kubana, mara sijui mifuko ya nyuma mara sjui kwenye wallet kama vile imekuwa pesa! Get yourself a condom case, condom zako zinakuwa protected vizuri na zinakuwa conceiled, siyo umechomoa wallet kulipa bill yanaonekana macondom...dafuq! condom ni usalama, lakni cmon, nani anataka kuona micondom kila unapotoa handkerchif mfukoni?! Kuna case nzuri ambazo hata mdada akibeba condoms zake anakuwa confortable (najua wadada wengi hawapendi kubeba condoms).
Kwanza ndom zinaumiza tu tena kamazile tunapewa bure
ziizoandikwa "not for sale" aaaghhh unaeza tamani uzipake mafuta ya nazi
yani ndom kavuuu utadhani sio za kunanii bana....
ACHENI KUTUMIA MICONDOM ya kijinga hii wanayoleta sjui psi, sjui ile ya kutoka uganda, sijui rough rider, sjui camasutra, acheni! Mimi kikawaida ni kama nina mzio na condom, sizipendi vibaya mno, yaani nikivaa ninaona kama imebana mno kiasi siwezi kuenjoy sex, kwa hiyo mara nyingi siwezi kuzitumia (condom zinaudhi jamani, kwa wanaume na wanawake), ikibidi sana kusex na mtu nisiyemfaham/kumwamini basi ninazo condom zangu za akiba ambazo at least huwa najiskia fresh nikitumia, baadhii ya brand ambazo huwa nazitumia na nina experience nzuri nazo ni hizi;
Trojan Naturalamb- (Angalizo, hizi hazizuii magonjwa ya zinaa ni kwa ajili ya kuzuiya mimba tu kwa wanandoa au wapenzi wanaoaminiana, ni nyembaba kupita kiasi na zina waterbase lubs, ni nzuri mno kwa family, bei yake imesimama pia).
Lifestyle skyn hazijatengenezwa kwa mipira hii ya latex, ni material tofauti sana, harufu yake siyo ya kuuddhi, na mafuta yake sijui yakoje siyo kama ya condom za kawaida na hayakauki na kuumiza. Hizi ni condom nyembamba mno yaani unaweza hata usijue umevaa conddom, joto la miili linakutana kirahisi na hivyo experience ya nyama kwa nyama iko karibu sana.
Trojan BareskinHizi na zenyewe ni nyembamba mno you wont know its there, hazina harufu, na zina kichuchu kikubwa kwa mbele kwa hiyo mdomo wa dushelele unakuwa haubanwi.