Every dad's worst nightmare!

Every dad's worst nightmare!

Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.

Hahaaa it's called life. So get over it.

But I hear you.
 
Tatzo wenzetu hawawezi kuwacharaza mbakola watoto wao! Ingekua hapa bongo, huyo binti angetafuta fimbo mwenyewe arudi nazo nyumbani..
Si sahihi hapa bongo mabinti wetu wameharibika zaidi na tunawaogopa hata kuwakaripia achana na fito-huko maji marefu
 
Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
Dah! mkuu hapo naona kama umetumia neno kali kwa mabinti,nadhani labda ungesema atapovunja ungo au hata atakapofikia umri huo,lakini kubalehe sio poa,kubalehe naona kama kwa wavulana ndio ina soumd poa.
 
Sijakuelewa boss, kitu gani?

Yaani kila mtu kivyake...anayependa hayo mambo, sawa. Asiyependa na kuyaona kama ni mauchafu au mahirizi naye poa tu.

Kila mtu ana haki ya kuyapenda au kutokuyapenda au kuyaona vyovyote vile.

Hence, to each his/ her own.

Understood?
 
Kuna mchizi mmoja alisema Obama hana "nguvu za kiume". Ndiyo maana kazalisha watoto wa kike watupu.
 
Kuna mchizi mmoja alisema Obama hana "nguvu za kiume". Ndiyo maana kazalisha watoto wa kike watupu.

Hahaaaaa watu bana!

Kwa hiyo kuzaa watoto wawili tu wa kike ndo hana nguvu za kiume?

Hizi imani hizi! Good grief!
 
Watoto wa kike huwa na choice zao tofauti na matamanio ya wazazi wao kabisa....Usije shangaa Malia akamzimia Rapper mmoja muhuni mbaya ndo akawa chaguo lake huyo...
Kuna wakati huyu mtoto alikuwa anamshobokea Soulja Boy kichinichini.
 
Tatzo wenzetu hawawezi kuwacharaza mbakola watoto wao! Ingekua hapa bongo, huyo binti angetafuta fimbo mwenyewe arudi nazo nyumbani..

Imagine angekua binti wa uncle duh hakika angekatisha ziara na kurudi Dar fast kutoa dozi nzito ya fimbo na asubuhi ingemkuta pale Segedansa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom