Every dad's worst nightmare!

Every dad's worst nightmare!

😀 unajitafutia fimbo mwenyewe ukiona umeshayakoroga.. No mercy!
Yaani acha tu na hakuna msamaha hadi umekula fimbo za kutosha.
Basi kulikuwa na watoto wa jirani walikuwa wanatushangaa kweli. Maana wao kuchapwa ni timbwili hadi wakimbizane, sasa wakawa wanashangaa eti unafuata fimbo mwenyewe ili uchapwe!
 
Dooh kuna wazazi wengine ni wababe yani akirudi home tu unaanza kuwaza wapi umekosea.. Siye ilibidi tujitafutie fimbo wenyewe maana ukimpa nafasi bi mkubwa ndo atafute basi italetwa booonge la fimbo🙁
 
Yaani umesema ukweli. Nimeolewa lakini kuna nyakati baba kama hakubali ukweli.

Tangu tukiwa wadogo alikuwa anasema hakuna kuolewa mpaka umalize chuo. Nikiwa chuo alikuwa anasema komaa ufaulu vizuri uunganishe masters kabisa ndo uolewe.

Kila mara haishi kusema sifa za anayemtaka. Akimaliza kusema unajiuliza hivi hapa naolewa mimi au yeye?

Katika yote ilinisaidia niwe mwangalifu nisije nikamkasirisha nikakosa baraka zake.
Miezi michache kabla sijafunga ndoa, alinipa ukweli wa ndoa kwa upande wa mwanaume alifunguka sana. Nilijifunza mengi.
Asante,nitayakumbuka haya
 
Pole Mkuu,umeandika kwa masikitiko sana japo bado haijakutokea, Jitahidi tu kumlea katika maadili mazuri na pia umfundishe kumpenda Mungu hope Mungu atamlinda na Mafisi
Asante mkuu.Ana miaka Tisa na kila kitu kiko vizuri ,she is the best in her class,Nyumbani ni msikivu.Nina watoto wengine was kiume lakini nahisi nampenda zaidi so ningependa apate kila kilicho bora katika maisha yake
 
Wazazi wote mngekuwa mnayakumbuka hayo na mnapowaumiza watoto wa wenzenu dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.
 
Dooh kuna wazazi wengine ni wababe yani akirudi home tu unaanza kuwaza wapi umekosea.. Siye ilibidi tujitafutie fimbo wenyewe maana ukimpa nafasi bi mkubwa ndo atafute basi italetwa booonge la fimbo🙁
Hahahaaa! Unaweza shushiwa hata stuli, hivyo kwa usalama wako ni bora ulete fimbo mwenyewe.
 
Hahahaaa! Unaweza shushiwa hata stuli, hivyo kwa usalama wako ni bora ulete fimbo mwenyewe.

Hivi mtu unawezaje kumpiga mwanao namna hiyo?

Mi kumgombeza tu siwezi seuze kumpiga?

Ninayempenda kamwe siwezi kumpiga - awe mtoto au mwenza.

Sipati kabisa picha eti nampiga Kisura! Nitaanzia wapi kwanza!!
 
Yaani umesema ukweli. Nimeolewa lakini kuna nyakati baba kama hakubali ukweli.

Tangu tukiwa wadogo alikuwa anasema hakuna kuolewa mpaka umalize chuo. Nikiwa chuo alikuwa anasema komaa ufaulu vizuri uunganishe masters kabisa ndo uolewe.

Kila mara haishi kusema sifa za anayemtaka. Akimaliza kusema unajiuliza hivi hapa naolewa mimi au yeye?

Katika yote ilinisaidia niwe mwangalifu nisije nikamkasirisha nikakosa baraka zake.
Miezi michache kabla sijafunga ndoa, alinipa ukweli wa ndoa kwa upande wa mwanaume alifunguka sana. Nilijifunza mengi.
Hayo yote ni kweli umesema na yanasababisha MTU kujilinda lakin inategemea na anaye ambiwa wengine ni wahuni balaa , anaambiwa hivyo anakutwa na mimba unashangaa wewe si ndo ulikuwa unabaniwa
 
Pole Mkuu,umeandika kwa masikitiko sana japo bado haijakutokea, Jitahidi tu kumlea katika maadili mazuri na pia umfundishe kumpenda Mungu hope Mungu atamlinda na Mafisi
Uko uko kwenye kwaya ndo wachungaji na wainjilist wanakomaa naye unacheza na digital weww
 
Hivi mtu unawezaje kumpiga mwanao namna hiyo?

Mi kumgombeza tu siwezi seuze kumpiga?

Ninayempenda kamwe siwezi kumpiga - awe mtoto au mwenza.

Sipati kabisa picha eti nampiga Kisura! Nitaanzia wapi kwanza!!
Kuna wazazi wanajua kupiga wewe, hadi unajiuliza km ni mzazi wako! Km ilivyo kwa wanaume ambao hupiga wake zao.
 
Mbona hana tako

Mambo ya urithi hayo...

636057665169961510-obamagaga.jpg
 
Hao wa mabara ya ulaya,marekani na kwenye nchi wanazojiona wamestaarabika na ni wanamaendeleo sana ndio tunawaona na vinguo vya nusu uchi na pia wakiwa ufukweni kukaa na chupi ni kawaida na hamna wa kushangaa... Mie naona huyo binti aliamua kuwa on the pool na wenzake(ajiachie kwa mda asahau status yake). Na STATUS yake kwa jamii ndio imefanya ionekane ajabu sana ila kiukweli kwa maisha na maadili ya wenzetu hamna cha ajabu. Ilitakiwa iwe ajabu kama kingetokea hapa bongo ambapo kuna maadili makali.
 
Ni wakati wakuiaga bikra iliyotunzwa na mitutu whitehouse..welcome to the crib malia bila shaka utaopoa stranger siku si nyingi na hizo ndio bata zenyewe asikuambie mtu.
 
Tumuombe tu Mungu maana sis wazazi unaweza kupanga mtoto kuwa hivi, akaenda kinyume kabisa na matarajio ya wazazi.
 
Hahahha hamna namna kma ambavyo umepitia mabinti kadhaa trend hio hiooo itamuhusuu,muombee tu awe makini..somethings huwezi zuia
 
Hiyo ni dhana potofu tu.

Hayo mambo yanaendana na maadili ya mtu. Kama mtu [binti] mwenyewe ana maadili dhaifu na ni mwepesi wa kulala na watu hovyo hovyo basi hivyo ndivyo atakavyokuwa.

Hayo mengine ni imani, sadiki, na dhana potofu tu.
Naona unajifariji..muosha huoshwa mchezo hauhitaji hasira, tulia tuliii vijana watapakua tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom