Every dad's worst nightmare!

Every dad's worst nightmare!

baba umepata mtoto wa kike ndo bas tena

wew subiri akue vijeba vije kuvua chupi... swaaafi kabisa

sasa wew baba unataka kukata utepe mwenyw au???
 
Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.

Wewe me au ke? Kama me iko hivi, kama ww unavyowavua pichu watoto wa wenzio ndivyo hivyo hivyo na wa kwako atavuliwa.
 
Kuna theory kwamba kama mwanaume ulikuwa playa sana na ukaharibu sana mabinti za watu basi na wewe ujiandae wa kwako kuliwa vivyo hivyo,tena sasa mungu alivyo wa ajabu utashangaa unazaa mtoto mzuri balaa,yaani kila ukijiuliza hupati jibu, maana ukijiangalia weye na mkeo na koo zenu unajiuliza hivi huyu dogo huu uzuri kaupatia wapi.asa ngoja abalehe uone huo moto wake
 
Hiyo ni dhana potofu tu.

Hayo mambo yanaendana na maadili ya mtu. Kama mtu [binti] mwenyewe ana maadili dhaifu na ni mwepesi wa kulala na watu hovyo hovyo basi hivyo ndivyo atakavyokuwa.

Hayo mengine ni imani, sadiki, na dhana potofu tu.
 
diamond nae akaamua kutoa ya moyoni kuwa tifa asitoe tamu sana,atoe kidogo tu.siku hz kuzaa stress tangu mimba hadi mtoto kumature.wa kike inauma akifanya vitu kama hivyo in public au akiwa malaya,mbaya ni mtoto wa kiume kuwa shoga.kuna challenge nyingine kama kujiingiza kwenye vilevi hatarishi kama cocaine nk.
 
Ndo maana nkasema theory mkuu,najua wapo watoto wa watu wema ambao waliokuja kuwa tafauti kabisa na wazazi wao ingawa wazazi walijitahidi kwenye malezi.ila usjali bamkwe mwenye binti hakosi mkamwana(sina uhakika na hili neno)
 
1470262047375.jpg
 
diamond nae akaamua kutoa ya moyoni kuwa tifa asitoe tamu sana,atoe kidogo tu.siku hz kuzaa stress tangu mimba hadi mtoto kumature.wa kike inauma akifanya vitu kama hivyo in public au akiwa malaya,mbaya ni mtoto wa kiume kuwa shoga.kuna challenge nyingine kama kujiingiza kwenye vilevi hatarishi kama cocaine nk.

Changamoto za malezi ni nyingi sana.

Ila naamini mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Tekeleza majukumu na timiza wajibu wako kama mzazi na utakuwa umefanya yaliyo ndani ya uwezo wako.

Mengine yatakuwa juu yake yeye sasa. Maana itafika tu wakati naye itabidi ajifanyie maamuzi yake mwenyewe.
 
Dingi imebidi amkoromee binti sio...
Hata mimj ningemaindi aisee ,kutwerk sio ishu sana lakini ile ya kivuta nguo juu ndo imensikitisha,yan mpaka nkaona aibu utafkiri ni mwanangu.ukiona mpaka wamarekani wenyewe wameshangazwa bas ujue alivuka kidogo mipaka ya kujiachia
 
Halafu vipaja vyenyewe hamna kitu....tumifupa na tunyama tu.
 
Changamoto za malezi ni nyingi sana.

Ila naamini mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Tekeleza majukumu na timiza wajibu wako kama mzazi na utakuwa umefanya yaliyo ndani ya uwezo wako.

Mengine yatakuwa juu yake yeye sasa. Maana itafika tu wakati naye itabidi ajifanyie maamuzi yake mwenyewe.
sure
 
Halafu vipaja vyenyewe hamna kitu....tumifupa na tunyama tu.
Kuhusu vipaja hivyo wala usimlaumu siunajua bimkubwa ni health food and fitness fanatic,huyo inaelekea nyama kwa wiki ala mara moja.we umeona wapi mmama wakiafrika anapiga mipushapu ya knuckles.Binti akianza kushi chuoni labda ndo anaweza kutoka shavu dodo
 
Kuna watu wanaleta maskhara ila haya mambo ukikaa na kutafakari fikra zinakupeleka mbali kisha unajistukia mbona kama nataka kuvuka daraja kabla sijalifikia mara ooh yatakuwa ni maisha yake mwenyewe mara but ni bint yangu nahitaji kumuelekeza kwa kweli ni zaidi ya nightmare.
 
Kuna wakati naona bora niwe na mtoto wa kike wa aina hiyo kuliko kuwa na wa kiume shoga.
 
Sikuhizi watoto wa kiume ndo wanahofiwa zaidi... Changamoto za malezi na tabia imekua ni pande zote kwasasa. Tofauti na zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom