BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hahahahahaha lol! Mie mkubwa banaaa hata sharubu zimeanza kuota lol!. Acha hizo tayari nina darubini yangu ili nione vizuri nisipitwe na chochote. Nataka kuhakikisha tu kama kweli maini yako yamezeeka sitayagusa kabisa. 😛😛
Hahahaha, maadili yananikataza kumkomaza mtoto, ukikua utaona.