GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,533
- 127,532
Baadhi ya wachezaji wa Everton wakipata kifungua kinywa katika moja ya mgahawa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Everton wafurahishwa sana na mapokezi ya Tanzania pia waenjoy kucheza pamoja na wamasai..
wameonekana wakijichanganya sana hata kuenda kula chai kwa vitumbua kwenye migahawa ya mama ntilie bongo.
welcome everton & rooney
Wakishamaliza ' Kula ' hivyo wakirudi Vyumbani mwao humo ' Mahotelini ' wanapewa ' Vidonge ' maalum wanavitafuna au kuvimung'unya kisha hizo ' takataka ' zote za ' Kiswahili ' walizokula hapo zinayeyuka huku zingine wakizitoa kwa njia ya haja ndogo na kubwa. Mara nyingi huwa wakija kama katika nchi kama hizi zetu huwa ' wanafungasha ' Vyakula na Vinywaji vyao wanavyovimini na ukiona wanafanya kama ambavyo wamefanya leo jua ni ' geresha '. Katika kitu Kikubwa ambacho ' Mzungu ' hawezi kukiamini hata kidogo ni Ngozi Nyeusi ' Mwafrika '.
Wazungu wasikie tu kwenye ' bomba ' Mkuu.