Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Ma start wetu ndo wajifunze.
Sio ukijulikana kidogo tu. Unajidai hata Chakula cha nyumbani kwenu huli. Unakula hotelin.
Safi sana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Sisi ndo tatizo na siyo mastaa wetu, mastaa wetu wakila kwa mama ntilie ni sisi ndo tunaanza vidomo domo mara ooh,kaishiwa kumbe mabo hayo ni ya kawaida tu na huwa hatuyaoni ila wamefanya wazungu ndo imeonekana ni sahihi. Tuache tabia za utumwa...!!!
 
Waliambiambiwa Raisi anabana matumizi hivyo lazima walaisishe maisha

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom