Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Itakuwa kwa mama ntilie shilole.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Ile nyimbo ya juma nature ya Ugali ingefaa sana hapo
 
Rooney yuko wap au yeye kashiba

sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app

hawa ni wale kina Osman na wenzake waliwahi kuja Tz,

Osman ni club ambassador,

Rooney hawezi kuruhusiwa kula hovyo kabla ya mechi.
 
Ile nyimbo ya juma nature ya Ugali ingefaa sana hapo
 
C kwamba wataigeuza baadae tuone kwenye documentary wanavyouchambua umaskini wetu Kama walivyofanya kanda ya ziwa kuwa tunakula mapanki badala ya samaki aina ya sangala,tulieni tu mtakuja ona haya ninayowaambia

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Exhibition/demonstration-Market strategy.Wanatalajia uwanja ujae kweli kweli.
 
Ma start wetu ndo wajifunze.
Sio ukijulikana kidogo tu. Unajidai hata Chakula cha nyumbani kwenu huli. Unakula hotelin.
Safi sana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Dada kuna tofauti kati ya kubeep na kupiga...chukua hiyo.
 
Back
Top Bottom