Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

What are they trying to prove? Bongo hakuna hotel au ??

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Ni kitu unique sana kwao.hizo hotel tumecopy na kupaste sana tofauti na mama ntilie..ila wanaweza kuwa na agenda nyingine pia...mkoloni ni mkoloni tu...

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Unadhani wametuma message gani huko nje??

Mhandisi
 
What are they trying to prove? Bongo hakuna hotel au ??

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
hapana..wameamua tu kutaste utamaduni wa watanzania..
wanatalii

hata mimi siku nkipata fursa ya kwwnda labda nigeria..ntakula ile fufu yao...
 
Wanaume wa dar oyeeeee!

Nawapongeza kwasababu mnaongoza Kwa kufaidi matukio adhim kama tukio la kesho,ila siwapongezi Kwa zile mambo pendwa za 6*6.
 
Sound so good

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Unapoweka habari inakuwa nzuri kama ina elezea tukio limetokea eneo gani

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Safi kabisa ila jamaa wamenifurahisha wa sportpesa wameweka kiingilio ambacho labda uwe mtu wa lawama ndio ushindwe kwenda

Sent from my Nokia katochi
Viingilio bei gani?Hivi kwanini SportPesa wameamua mchezo uwe Daresalaam na siyo Nairobi?.Lazima kuna sababu ya kitaalamu/Kibiashara.

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
yaan wanataka wapate kick kuliko ngosha haaaaaaa jamaaa atawawatoa ndugu.......napendaga malikes........

Sent from my SM-A500FU using JamiiForums mobile app
 
Umenitangulia kuituma.

Sent from my XT907 using JamiiForums mobile app
 
Wataharisha washindwe kucheza mech

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tupunguze mihemko kwa vitu visivyo na maana...

Naona eti wengine wanaanza kuwaponda mastaa wa bongo..

How stupid!!!??

Mastaa wa bongo wametokea huko...hawa wana learn new experience of poverty life. Na sio kwa wanaappreciate kitu hapo.

Akili nyingine bana..
 
Aiseee dar noma sanaa. Wanaenjoy sanaa maisha ya uswahili jinsi watu wanavyokula kiselaaa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tupunguze mihemko kwa vitu visivyo na maana...

Naona eti wengine wanaanza kuwaponda mastaa wa bongo..

How stupid!!!??

Mastaa wa bongo wametokea huko...hawa wana learn new experience of poverty life. Na sio kwa wanaappreciate kitu hapo.

Akili nyingine bana..
Jiwe limekugonga nini... Mbona povu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Viingilio bei gani?Hivi kwanini SportPesa kwa nini wameamua mchezo uwe Daresalaam na siyo Nairoba.Lazima kuna sababu ya kitaalamu/Kibiashara.

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Elfu 3 kwa elfu 8 sasa kama mashindano ya kumpata mtu atakae cheza na toffees yamefanyika dares salaam nadhani inaleta maana na mechi kuchezewa dar ki muono wangu lakini sijui kwa mujibu wa sportpesa labda wao wana sababu lukuki
 
Ma start wetu ndo wajifunze.
Sio ukijulikana kidogo tu. Unajidai hata Chakula cha nyumbani kwenu huli. Unakula hotelin.
Safi sana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Toka wazaliwe wanakula hicho hicho, acha wabadilishe bwana kidogo...
 
Back
Top Bottom