Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

Wanajiona mafahari wakati wenzao wanalipwa madola kibao na wako simple
Alikuja mdenish mmja bongo alifikiaga maskani kwa jamaa yangu mmja basi khsu mambo Ya kula jamaa akawa anampeleka best bite,mara mary Brown yule mzungu akamwambia mm nataka kula chakula halisi cha Kibongo n'a cha bei nafuu ambayo watu wa chini wanakimudu
Basi Kna Siku nkampeleka kupiga tea kitu chai n'a maharage n'a chapati 1300/
Mchana lunch wali au ugali n'a maharage n'a mboga mboga 1500/ ahh jamaa alifurahi sana
Bia nikawa nampeleka bar zetu hzi,jamaa mpaka leo anakumbuka sana hii kitu

Ova
 
Inasemekana Kenya kuna mashindano ya riadha ya inch 135 wasingepata wanachokitaka,

Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
 
Basi hapo wabongo tunavyopenda dhiki ndio roho zimesuuzika.....kumbe wenzetu wanafanya utalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
 
Timu inayoshiriki ligi kuu England iliyoletwa Tz kwa udhamini wa SportPesa wamewasili Tz leo, ila wakaamua kula kwa mama ntilie

Hiyo ndiyo video itakayoeenezwa duniani kote ikituonesha wabongo kiwango chetu cha maendeleo kilipofikia. Ha ha haaaa
!
 
Alikuja mdenish mmja bongo alifikiaga maskani kwa jamaa yangu mmja basi khsu mambo Ya kula jamaa akawa anampeleka best bite,mara mary Brown yule mzungu akamwambia mm nataka kula chakula halisi cha Kibongo n'a cha bei nafuu ambayo watu wa chini wanakimudu
Basi Kna Siku nkampeleka kupiga tea kitu chai n'a maharage n'a chapati 1300/
Mchana lunch wali au ugali n'a maharage n'a mboga mboga 1500/ ahh jamaa alifurahi sana
Bia nikawa nampeleka bar zetu hzi,jamaa mpaka leo anakumbuka sana hii kitu

Ova
Hata wenyewe wanafurahia wakibadilisha mazingira mpaka menu
 
Everton ndyo hawa watatu tu..

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Mshauri wa Lowassa wakati wa kampeni za 2015 kahamia SportPesa! Nawaza tu.
 
What are they trying to prove? Bongo hakuna hotel au ??

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app

Wabongo ndio mnaponichosha hapo hamjui watalii wanapenda sana street food ili kupata radha halisi ya kitanzania hata kwao ulaya hao wanakula vibanda umiza tena uingereza ndio usiseme
 
Back
Top Bottom