Ukipata nafasi, nenda ukale chakula kwa Mama Ntilie, utabarikiwa

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,454
Reaction score
18,795
Siku mojamoja jitahidi uwe unaenda kula kwa hawa akina mama wanaobangaiza,utabarikiwa zaidi na zaidi, unakuta mama wa watu anaamka saa 11alfajili,anaanza kuchemsha chai,huku anachoma vitumbua na chapati,hapohapo anahudumia wateja, ni wanapitia tabu sana,hivyo ukienda kula maramoja japo najua sio hadhi yako utabarikiwa sana,madhira wanayopitia ni mengi mno, anawahi kuamka,anachelewa kulala. MCHANGIE MAMA NTILIE LEO UBARIKIWE KATIKA KAZI ZAKO. Aslam Aleykum.
 
Kuna mahala huwa naenda kula msosi wa buku unashiba kweli kweli, ukitoa elfu na mia tano hadi unabakiza , alafu wanajua ku handle wateja hadi unajisikia raha
 
Acha walipe gharama.

Hao wa Mama enzi za usichana wao walisharinga sana na kufanya vimbwanga vya kutosha.

Sasa ni muda wa maisha kuwanyoosha.

Hakuna uhusiano wowote wa chakula na Baraka.

Baraka ni illusions tu.
mkuu,wapo waliokuwa matajiri wakapata changamoto za kimaisha kutokana na magonjwa,ajari nk wakafirisika,wapo waliofiwa na waume zao, wapo single maza nk so wewe kale tu usitake kuchimba sana.
 
Hawa mabinti wa 2000+ ndio Mama Ntilie wajao wa miaka hiyo ya 2050.

Kwa sasa acha waringe tu na kuuza nyapu.

Kuanzia mwaka 2050, 2060 mpaka 2090. Hawa mabinti wa 2000 wabinua makalio Tik-Tok watakuwa Mama Ntilie wazuri tu!

Na hakuna wa kuwahurumia kwa wakati huo.

Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.

Hakuna huruma wala baraka!
 
Siku mojamoja jitahidi uwe unaenda kula kwa hawa akina mama wanaobangaiza,utabarikiwa zaidi na zaidi, unakuta mama wa watu anaamka saa 11alfajili,anaanza kuchemsha chai,huku anachoma vitumbua na chapati,hapohapo anahudumia wateja, ni wanapitia tabu sana,hivyo ukienda kula maramoja japo najua sio hadhi yako utabarikiwa sana,madhira wanayopitia ni mengi mno, anawahi kuamka,anachelewa kulala. MCHANGIE MAMA NTILIE LEO UBARIKIWE KATIKA KAZI ZAKO. Aslam Aleykum.
binafsi napendelea kupata huduma za chai asubuhi, chakula cha mchana au jioni kwa maafisa lishe mtaani, sio kwasababu nawaonea huruma au nawachangia chochote, lahasha,

nakula na kunywa kwa maafisa lishe kwasababu ndio chimbuko la maisha yangu tangu nakua hadi nilipo hivi sasa 🐒
 
binafsi napendelea kupata huduma za chai asubuhi, chakula cha mchana au jioni kwa maafisa lishe mtaani, sio kwasababu nawaonea huruma au wachangia chochote, lahasha,

nakula na kunywa kwa maafisa lishe kwasababu ndio chimbuko la maisha yangu tangu nakua hadi nilipo hivi sasa 🐒
Bila uchawa we jamaa ungekuwa na nyota moja ya U GT ila ndiyo hivyo tena ushaharibikiwa
 
Acha walipe gharama.

Hao wa Mama enzi za usichana wao walisharinga sana na kufanya vimbwanga vya kutosha.

Sasa ni muda wa maisha kuwanyoosha.

Hakuna uhusiano wowote wa chakula na Baraka.

Baraka ni illusions tu.

Si kila mama ntilie alipitia maisha unayoyazungumzia, na hata waliopitia changamoto bado wanastahili heshima na nafasi ya kujitafutia riziki halali.

Kununua chakula kwa mama ntilie si suala la ‘baraka’ pekee, bali pia kusaidia uchumi wa watu wa kawaida wanaopambana kila siku kuendesha maisha yao.

Mwisho wa siku utu na huruma vina thamani kubwa kuliko kuhukumu maisha ya wengine.
 
mkuu,wapo waliokuwa matajiri wakapata changamoto za kimaisha kutokana na magonjwa,ajari nk wakafirisika,wapo waliofiwa na waume zao, wapo single maza nk so wewe kale tu usitake kuchimba sana.
Kula na baraka ni vitu viwili tofauti.

Labda mtu aamue kula kwa kupenda kwake na kwa hiari yake mwenyewe.

Si kwamba mtu akila atapata baraka.

Hakunaga baraka kwenye haya maisha.
 
Back
Top Bottom