Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
What are they trying to prove? Bongo hakuna hotel au ??
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
It might be so.
What are they trying to prove? Bongo hakuna hotel au ??
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Hiyo haiepukiki wazungu koko ni wazee wa double standard, kwa kila wafanyacho.
Kwa hiyo, ulichowaza kimeisha timia hata kabla hujaandika humu JF.
I think this is market strategy...namna ya kuongeza wigo wa mashabiki...ts owesomeWhat are they trying to prove? Bongo hakuna hotel au ??
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].......we jamaa umeifanya siku yanguInaelekea umewahi kuwa house boy wao
Elfu 3 kwa elfu 8 sasa kama mashindano ya kumpata mtu atakae cheza na toffees yamefanyika dares salaam nadhani inaleta maana na mechi kuchezewa dar ki muono wangu lakini sijui kwa mujibu wa sportpesa labda wao wana sababu lukuki
Everton is team of all people. Kisaikolojia wamepata mashabiki.Unadhani wametuma message gani huko nje??
Mhandisi
Kwani Ray ndo mtu wake kwa sasa. ?ray. angalia gigy money asije sogelea wakina rooney...atatutia aibu wallah [emoji23] [emoji23]
Wanataka kuthibitisha hizo ndo hotel zetu za nyota 5,
Vipi mazoezi watafanyia uwanja gani nataka nikawaone
una hamu ya kuchambwa wewe[emoji38]Kwani Ray ndo mtu wake kwa sasa. ?
Hutaki rooney asukume tope ...una roho mbaya sana!ray. angalia gigy money asije sogelea wakina rooney...atatutia aibu wallah [emoji23] [emoji23]
Kwa sababu wewe unakula hotelini unahisi kila mtu anatakiwa ale hotelini?Unadhani wametuma message gani huko nje??
Mhandisi
Wewe utakuwa ni mkenya.. Kama ni mTZ basi tunakutoa kwa mkopo kenyaViingilio bei gani?Hivi kwanini SportPesa wameamua mchezo uwe Daresalaam na siyo Nairobi?.Lazima kuna sababu ya kitaalamu/Kibiashara.
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Na uwanja Wa taifa pia utaonekana dunia nzima, bila kusahau JKNIA na Hoteli waliyofikia... Ukitaka kudiss think deep enough
Hiyo ndiyo video itakayoeenezwa duniani kote ikituonesha wabongo kiwango chetu cha maendeleo kilipofikia. Ha ha haaaa!