Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

Manara atandikwe viboko 7, maana yeye angeshikilia bango mpaka dakika hii shangwe zingekuwa nyingi sanaa
 
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
Bado wanajiuliza, Simba aliwezaje kucheza Champion League mpaka robo fainail wakati Yanga alienda shirikisho na kibaya zaidi hayupo Super cup pamoja na kuvaa medali?
Champion League muda si mrefu inaanza. Mtakaza kweli au mtajilegeza muende shirikisho?
 
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
ni kweli imedorora

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom