European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Shukrani sana Mkuu sikuwa na masaibu yoyote yale zaidi ya MOD ambaye alibadili nilichoandika na kubadilisha maana ya ujumbe wangu nilioukusudia. MOD kama hapendi nilichoandika aingie dimbani tulumbane kwa nguvu ya hoja badala ya kubadili nilichoandika vile atakavyo yeye.
Aisee tumefurahi kuona uko poa mkuu,maana watu wasiojulikana ni balaa.

Khs ma mode wapotezee tu mkuu naona siku hizi wana stress sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umejitahidi kujibu, hongera japo mengine umeyaacha. Kwa mfano kuna statement moja kwenye hilo azimio la bunge la ulaya kulikoandikwa kuwa kuna mbunge mmoja wa Chadema ameuawa. Ni uongo mtupu, haya ni mambo ya ajabu sana.
 
Shukrani sana Mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Aisee tumefurahi kuona uko poa mkuu,maana watu wasiojulikana ni balaa.

Khs ma mode wapotezee tu mkuu naona siku hizi wana stress sana.
 
N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

3/11/2018
Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa
1544827596992.png


Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa
 
N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

3/11/2018
Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa
View attachment 968431

Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa

Inasemekana pressure ilimpanda baada ya James Delicious kukamatwa. Sasa sijui alikuwa anajuana naye? Hata dhamana inasemekana ilitoka kwa ``mfadhili´´.
 
The European Parliament Resolution on Tanzania (2018/2969(RSP)) is all about LGBTI people

In case you don't get it LGBTI stands for LESBIAN, GAY, BISEXUAL, TRANSGENDER & INTERSEX PEOPLE

Yaani kwa kiswahili Ni Maazimio ya Umoja wa Ulaya kwa Tanzania kuhusu WASAGAJI, MASHOGA, NGONO ZA JINSI MOJA, NA WATU WENYE MAUMBILE ZAIDI YA AINA MOJA

Daniel Sarungi
Mzalendo

Team, I have gone through the resolution and all it's references including the OHCR of November 2, 2018 the LGBT Toolkit, ACHPR and 'Cotonou Agreement (ACP-EU) which include Africa, Caribbean and Pacific Group of states and Tanzania signed it (only Cuba did not sign)

I have also gone through the newsfeed and Tanzania Constitution I have found the following;

The statements from the EU can be regarded as directions, commands or instructions that Tanzania MUST comply, but because they don't have such a power to a Sovereign state then automatically their instructions can be defined as a threat for Tanzania in exchange to relation among EU and Tanzania. In other hand it is clear that EU has Blackmailed Tanzania.

I have realise that EU have been filled with hatred and false information for the benefits of informers

Due to that I will respond to several agendas as follows:

1. Deteriorating political situation by shrinking the public space through tightening of restrictions on activities of Civil Society Organizations and Human rights defenders

My Response:
Firstly I would like to remind EU that Tanzania is still and will always be home/hub for Human right defenders from other countries to come and rest while proceeding with their peace of mind. We both know that.

All Civil Organisations in Tanzania have registered as per the rules and regulations of the country,

It happens many times when an organization is not doing what it was registered for, instead it is *operating its hidden agendas* to disrupt peace among the community with the umbrella of Human rights, Clearly that's illegal concern. It is our hope that these CSOs now start by helping the communities through access to facilities.

2. PAUL MAKONDA ends his provication against LGBTI

My response:
That was already responded by government on 4th November 2018

3. Independent Investigation

My response:
In EU when a police initially record an offense as HOMICIDE it remains CLASSIFIED to as many years as possible unless the Police or Courts decide that a lesser offense or no longer recorded.

In UK for example, the *year 2017 more than 719 deaths were recorded as Classified* (refer to crime and justice, at the Office for National Statistics)

And investigation can undertake even more than 10 years, we have seen the same with UK. What makes you think that Tanzania have failed to investigate such deaths?

In Tanzania, all cases are being investigated and have positive progress. Next time you should at least request an official update from the Court/Police regarding the status.

4. The Cotonou Agreement

My Response:

The Cotonou agreement signed in Cotonou for 20 years since 2000 - 2020 with a room to review every 5 years.

The agreement based on three pillars
1) Development Cooperation
2) Political Cooperation
3) Economic and trade cooperation (this ended 2007)

There is no any single place in agreement where explains or have mentioned LGBTI

5. Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality

My Response
Apart from the technology impact and the age of new era, we as Tanzanians have our core values. The values and culture we believed in are still the same we believe in today.
*"Hatuwezi kuruhusu Ushoga kwenye Katiba"*
Homosexual is not a human right however LGBTI people deserve respect and equal rights, yes but allowing it openly to community that's not our culture.

7. Cyber crime act to Guarantee freedom

My response
*Freedom without law is a war*. Let me remind EU that there is freedom and there is insulting, one of them is not a Human Right. The Court will decide what's an insult and what's a freedom


8. President Magufuli's statement that Girls who give birth should not be allowed to return to school.

My Response:
You misquoted the President. Education is a human right. People get education in many ways.

The Government decided to pay school fees to all students in Government Schools so they can get their right to education.
When it comes any of them gets a pregnancy, she will not return to government school but she has a room for Private schools after giving birth, she cannot return to the same school due to psychological reasons. she can even join with Vocal Education and Training Authority (VETA). This is how it was since the earlier ages of this Nation.

9. Release Political Prisoners

My Response:
All people are equal before the law. Being an opposition doesn't give you an immunity when it comes to state laws.

Political Prisoners (as per EU), will be released as per laws and regulations of the country. The Judiciary is a separate entity and doesn't work under pressure.

The rule of law, once in the Court, the government cannot intervene

I'm wondering where the EU get that confidence to come up with such resolution, I conclude as bad Intel comes from those that they decide to aside with.

Regards
Ndugu yangu kisa cha kukinajisi Kiingereza kiasi hicho ni kipi hasa? Umeua ndege wawili kwa Jiwe moja in a wrong way. One, kama ulilenga waerevu wa Kiingereza wakuelewe basi umegonga mwamba. Two, umewatenga wasiojua lugha hiyo ya kigeni lakini umewaepusha na pumba uliziwasilisha kama hoja.

Nilipoona "Sarungi" nikamkumbuka Prof Sarungi na mwanae Maria, so I had high expectations from you. How wrong!
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Wewe piga kelele , lakini ukumbuke kukosa 40% ya budget ndugu zetu wengi watalala njaa, wewe na msukuma mwenzako mtakula tuu, lakini hali inazidi kuwa mbaya kwa wengine wote
 
1. Kwanini serikali inataja sharti moja tu la ushoga na kuacha masharti mengine yenye tija kama utawala bora, kufifia kwa demokrasia nchini, wanafunzi wanaopata mimba, sheria ya takwimu, kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na ukiukwaji wa haki za binadamu?
Azimio lina hoja nyingi za serious concerns, unpochanganya nyuma safi na utumbo wa jana, kinachotoa harufu zaidi ni utumbo.
Hili la ushoga ni utumbo wa jana uliofunika steki ya Leo ya leo sheria ya takwimu, cyber law, democracy, right of expression etc.
It's advisable usichanganye samaki wote wa jana na leo kwenye tenga moja.
P
 
Bunge la Umoja wa Ulaya limetoa njia iitakayo kwa mustakabali wao juu ya uhusiano kati yao na Tanzania kutokana kile walichokiita kuongezeka kwa ukiukwaji wa haki za binaadamu Tanzania.

Azimio hilo limeeleza namna ambavyo hali ya kisiasa nchini Tanzania inavyokandamiza uhuru wa wananchi kutokana na sheria kali zilizopo dhidi ya asasi za kiraia, watetezi wa haki za binadamu, vyombo vya habari na vyama vya siasa na huku hofu kubwa ikitanda kwa wapenzi wa jinsia moja.

Chanzo: BBC Swahili
Bunge la EU laiazimia Tanzania
 
Wewe mtu ni empty head kabisa,hivi huwezi kuingia hata google upate elimu za uchumi?unadhani tukiwekewa embargo bibi yako kijijini ataishi vipi?,
Kumbe mwenzetu yule bibi yako kijijini anaishi kwa kutegemea EU?. Mimi bibi yangu anaishi kwa kutegemea natural foods mihogo, viazi, asali etc na kuvaa kaniki ya Mwatex. Nitajifunza uchumi Google ili nami nijue uchumi, bibi yangu kijijini aache kula mihogo na kuvaa kaniki, ale chocolates na kuvaa wax ya Nederlands.

Hivyo Tanzania tuendelee kuwategemea EU kwa maisha yetu yote na ya Bibi zetu vijijini.
P
 
Kwani Canada ni mwanachama wa EU????

Mbona mfano wako hauna maana? Umejaa tu upepo na una comment out of context
duh mkuu hivi una akili hata kidogo?

Elimu yako imeshindwa kukusaidia kujua hawa watu ni wamoja japo hawakai bara moja?

ukitengwa na EU umetengwa na canada na marekani, hujui?

nikikwambia hadi leo malkia wa UK bado anaongoza Canada utanielewa?

huo ni mfano tu na usifikiri ukiwatetea EU watakupenda! wao wapo kwa maslahi yao hapa na ndio maana kipindi kikwete anawapiga kina Lipumba kwenye maandamano hawakuongea.
 
Rudi shule kasome Philosophy

Tamko lina mambo mengi ya maana lakini mnajikita kwenye angle ya ushoga as if mengine mnayakubali!

Kumbukeni wanaoteswa wana ndugu wanaoumia pia
Tulia usome vizuri halafu nioneshe wapi nimeandika neno ushoga.
 

The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania, including that of 12 March 2015,

– having regard to the Declaration by High Representative Federica Mogherini of 15 November 2018 on behalf of the EU on EU-Tanzania relations,

– having regard to the local EU statement of 23 February 2018 on the rise in politicallyrelated violence and intimidation in Tanzania,

– having regard to the Council conclusions of 16 June 2016 on LGBTI equality,

– having regard to the statement by Michelle Bachelet, UN High Commissioner for Human Rights (OHCHR), of 2 November 2018 on the prosecution and arrests of LGBT people in Tanzania,

– having regard to the EU Council’s Toolkit to promote and protect the enjoyment of all human rights by lesbian, gay, bisexual and transgender people (the LGBT Toolkit),

– having regard to the Universal Declaration of Human Rights, the International Covenant on Civil and Political Rights and the Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination against Women,

– having regard to the UN Convention on the Rights of the Child,

– having regard to the African Charter on Human and Peoples’ Rights (ACHPR),

– having regard to the ACP-EU Partnership Agreement (‘Cotonou Agreement’),

– having regard to Rules 135(5) and 123(4) of its Rules of Procedure,

A. whereas, since the election of Tanzanian President John Pombe Magufuli in 2015, basic rights in the country have been undermined through repressive laws and decrees; whereas critical journalists, opposition politicians and outspoken civil society activists have faced threats, arbitrary detention and harassment;

B. whereas there has been increasing stigmatisation, violence and targeted arrests against LGBTI people over the past two years in the country; whereas, under Tanzanian law, same-sex relationships are criminal offences punishable by 30 years to life imprisonment; whereas Tanzania’s anti-homosexuality law is among the harshest in the world;

C. whereas suspected gay men in Tanzania are subjected to forced anal examinations, a discredited method of ‘proving’ homosexual conduct that the United Nations and the African Commission on Human and People’s Rights have denounced as torture;

D. whereas Paul Makonda, the regional commissioner of Dar Es Salaam, has been a prominent advocate of the repression; whereas, at a press conference on 31 October 2018, he announced the creation of a task force to track down gay men, prostitutes and people conducting fraudulent fundraisers on social media; whereas he called on the public to report suspected gay people to the authorities;

E. whereas the Ministry of Health has temporarily suspended the provision of HIV and AIDS services at community level and has closed drop-in centres for key populations, including gay men; whereas it closed 40 health centres on 17 February 2017 for allegedly encouraging homosexuality; whereas several organisations have reported that the crackdown on the LGBTI community has resulted in HIV-positive men failing to access their anti-retroviral treatment, while others have stopped accessing testing and preventive services;

F. whereas in November 2018 ten men were arrested in Zanzibar for allegedly conducting a same-sex marriage ceremony; whereas 13 health and human rights activists were arrested on 17 October 2018 for participating in a meeting to discuss a law restricting the access of LGBTI people to some health services;

G. whereas many children and adolescents, particularly girls, are exposed to human rights abuses and harmful practices, including widespread sexual violence, corporal punishment, child marriages and teenage pregnancies, that make schooling difficult or impossible for them; whereas the Tanzanian Government obstructs access to sexual and reproductive health services and intimidates organisations providing information about such services;

H. whereas on 22 June 2018 President Magufuli issued a declaration banning pregnant girls from attending school; whereas the authorities are intimidating civil society organisations (CSOs) that advocate the rights of pregnant girls to go back to school;

I. whereas the Tanzania Commission for Human Rights and Good Governance has not been operational for some time; whereas President Magufuli has not appointed commissioners or other office bearers to the Commission;

J. whereas the government has shut down or threatened privately owned radio stations and newspapers, and ended live transmissions of parliamentary debates; whereas local channels and decoders which air local channels have been closed;

K. whereas Tanzania’s National Assembly passed the Cybercrimes Act in 2015 and the Online Content Regulations in September 2018 with the aim of controlling content used on social media; whereas the Statistics Act adopted in 2015 states that it is not allowed to discuss or question certain statistics communicated by the government;

L. whereas leading opposition members are regularly arrested on charges ranging from allegedly insulting the President to false information and sedition; whereas 20 members of Tanzania’s main opposition party were arrested in July 2018 over claims that they were fomenting trouble; whereas several political opposition members and parliamentarians have been violently attacked and even killed since the start of 2018; whereas on 22 February Godfrey Luena, a member of parliament with Tanzania’s main opposition party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and a vocal land rights defender, was killed with machetes outside his home; whereas in November 2018 the programme coordinator of the Committee to Protect Journalists (CPJ), Africa Angela Quintal, and her colleague Muthoki Mumo were arrested and released after pressure by international institutions;

M. whereas tourism development in recent years has led to increased activity, particularly in the Serengeti region where the Maasai live; whereas the control of arable or scarce land for speculative purposes has led to strong tensions in the area;

N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

O. whereas the EU High Representative Federica Mogherini has announced a comprehensive review of the Union’s relations with Tanzania;

1. Expresses its concern about the deteriorating political situation in Tanzania characterised by a shrinking of the public space through the tightening of restrictions on the activities of civil society organisations, human rights defenders, the media and many political parties; is especially worried about the deteriorating situation for LGBTI persons;

2. Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence;

3. Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice;

4. Reminds the Tanzanian Government of its obligation, including commitments made under the Cotonou Agreement, to protect the rights, dignity and physical integrity of all its citizens in all circumstances;

5. Calls on Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality;

6. Urges the EU and its Member States to make full use of the LGBT Toolkit to encourage third countries to decriminalise homosexuality, help reduce violence and discrimination and protect LGBTI human rights defenders;

7. Calls on the Tanzanian authorities to amend all restrictive provisions in the Cybercrimes Act, the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations and the Media Services Act and replace these with provisions that will guarantee freedom of expression and the media in line with international human rights standards;

8. Calls on the Tanzanian authorities to repeal any laws, policies or other barriers to services and information that women, girls and young mothers need for a healthy life, most notably President Magufuli’s declaration that girls who give birth should not be allowed to return to school, including the repeal of regulations that make it legal for pregnant girls to be expelled from school;

9. Urges the President of Tanzania to make the country’s Human Rights Commission operational as soon as possible, to appoint commissioners to follow up on human rights violations, and to take action to support domestic workers abroad;

10. Calls on the Tanzanian authorities to release political prisoners;

11. Expresses serious concern about the pressure exerted by the Tanzanian Government on the EU Head of Delegation, Roeland van de Geer; welcomes the decision of the European Union and its Member States to conduct a comprehensive review of EU policies towards Tanzania; insists on the importance of political dialogue to seek tangible commitments from the Tanzanian authorities towards creating an enabling environment for the operation of civil society, political parties and the media; calls on the Commission to ensure that an explicit reference to non-discrimination based on sexual orientation is included in the future ACP-EU partnership agreement post-2020;

12. Expresses concern at the situation of the Maasai people; denounces the use of force by the authorities and security forces;

13. Calls on the Tanzanian authorities to act decisively to safeguard the rights of civil society organisations, human rights defenders, journalists, health workers and political activists in accordance with the Tanzanian constitution, the African Charter of Human and Peoples’ Rights and the country’s international and regional obligations and commitments;

14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;

15. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice-President of the European Commission / High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the EU Special Representative for Human Rights, the ACP-EU Council, the institutions of the African Union, the institutions of the East African Community, and the President, Government and Parliament of Tanzania.

SOURCE: http://www.europarl.europa.eu/sides...+P8-RC-2018-0570+0+DOC+PDF+V0//EN&language=EN
Papaa Mobimba namionaga tu hizi maresolutio ya Europe, America na bangine bingi. Lazima watafungua masikio na kufanya haki za binadamu kichwa. Ka papa Mobimba naonaga mbali.
 
"Upunga" ni sehemu ndogo sana ya tatizo ila mmechukulia kama ndio kisemeo.

Orodhesheni yote wanayowatuhumu.
Yako mengi sana wanayotuhumu. Lakini kuna kitu hutakiwi kukijua hivyo sie tutabaki kwenye kelele za LGBT na kuminywa kwa Demokrasia pekee.
 
sisemi magufuli ni dikteta hapana,ni raisi na wananchi tumemchagua sisi hasa mimi,ila kama kuna concern acha zisemwe,hata Hitler alikuwa anashangiliwa kabla ya kushtukia idadi ya watu waliokufa,hakuna binadamu anayestahili kufa kwasababu yoyote ile,yaani nadhangaa hapo unasema raisi kavunja katiba alafu bado kama una muunga mkono,hapa nadhani unamponda kijanja,unataka kuthibitisha raisi kavunja katiba,una uma na kupuliza,kama uko against na raisi njoo straight tujue,
Nyinyi ndio watu wenye uni direction vision, yaani mnaona upande mmoja tuu, kama Magufuli ni dikiteta basi ni mbaya kwenye kila kitu. Mimi ni mkweli, Magufuli ni dikiteta ila pia ana mazuri yake na hata udikiteta wake pia una mazuri yake hivyo ni dikiteta mzalendo. Japo nalaani udikiteta mbaya kama wa Hitler lakini naunga mkono udikiteta mzalendo, hivyo mtu anaweza kabisa kupinga Magufuli kwa udikiteta wa kuzuia mikutano ya kisiasa, na bado akamuunga mkono Magufuli kwenye udikiteta wa tumbua tumbua kwenye vita dhidi ya rushwa, ufisadi, uzembe na ubadhirifu.

Kuhusu hoja ya udikiteta wa Magufuli, nimeizungumza sana humu, nikiangazia udikiteta mzuri wa kuungwa mkono, udikiteta mbaya wa kulaaniwa.

Udikiteta ni Dhana Tuu or ni Real?. "Lets Call A Spade A Spade!"Dikiteta ni Mtu Mwenye Tabia Hizi!". - JamiiForums
Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii? - JamiiForums
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! - JamiiForums
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! - JamiiForums
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta! - JamiiForums
Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! - JamiiForums
P.
 
Back
Top Bottom