European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Charles Dotter said:
N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

3/11/2018
Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa
View attachment 968431

Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa
Inasemekana pressure ilimpanda baada ya James Delicious kukamatwa. Sasa sijui alikuwa anajuana naye? Hata dhamana inasemekana ilitoka kwa ``mfadhili´´.
Ukiunganisha hayo yote hapo juu unapata taarifa kamili kuwa, Huyu bwana mkubwa wa EU alilazimishwa kutoka nchini, LAKINI hakulazimishwa na serikali ya Tanzania bali alilazimishwa kutoka nchini na taarifa na tukio la nchi yetu kupiga vita USHOGA. Huyu bwana hawezi kuvumilia kabisa kuona mashoga (akina delicious) na ushoga vikipigwa vita!!!! Anawapenda mashoga usipime!!!!! Kwa hiyo alipoondoka alidanganya kuwa ameitwa na viongozi wake wa EU!!! Siwezi kuamini hata kidogo kuwa Mh Mahiga ndiye aliyedanganya, bali huyo mpenda akina delicious ndiye aliyedanganya!!!!. Charles Dotter anasema: EU head of delegation was forced to leave after the Tanzania authorities exerted increased pressere on him!!! Yaani kitendo cha Tanzania kupiga vita ushoga kwake ilimletea shinikizo kubwa yaani pressure kubwa mno kiasi ambacho hakuweza kuvumilia kuona akina delicious wanapigwa vita!!!! Atukome!!!! Tutawapiga vita sana tu!!!!!! Kama wanawataka akina delicious wawachukue wakawape uraia huko kwao!!!!!!
 
Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..

Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!

Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..

Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Very true
 
Azimio lina hoja nyingi za serious concerns, unpochanganya nyuma safi na utumbo wa jana, kinachotoa harufu zaidi ni utumbo.
Hili la ushoga ni utumbo wa jana uliofunika steki ya Leo ya leo sheria ya takwimu, cyber law, democracy, right of expression etc.
It's advisable usichanganye samaki wote wa jana na leo kwenye tenga moja.
P
jificheni kwenye ushoga maana hakuna jinsi.
mnaipeleka wapi innji hii[emoji196] [emoji196] [emoji780] [emoji780]
mnabadili bendera yetu halisi mnaleta yakwenu [emoji90] [emoji196] [emoji218] [emoji216] [emoji780] [emoji780]
 
Namuunga mkono Rais wetu mpaka mwisho!!!!!! Naiunga mkono serikali yetu mpaka mwisho!!!!! Hawa wazungu tukiwaendekeza tutailetea nchi yetu laana!!! Na laana huwa haina mwokozi!!!!!! Mvua zisiponyesha kwa kuendekeza usodoma wa wazungu nani atatuokoa? Tukishukiwa na majanga makubwa ya asili kama matetemeko, vimbunga na mafuriko ni nani atatuokoa? Tikivamiwa na magonjwa ya mlipuko na yasiyojulikana ni nani atatuokoa??? Dhambi ya sodoma wanayotaka kutuambukiza tusiionee haya hata kidogo, itatuletea laana!!! Nchi za ulaya ziko chini ya laana!! Hawana amani japo wanaonekana kuwa na kila kitu! Watuache na nchi yetu waiache. Hata wakiamua wooooote waondoke, Mungu atabaki na sisi!!!! Wala wasitutishe!! Hawana hati miliki ya uhai wetu, hawana hati miliki ya chanzo pekee cha nishati ambacho ni jua!!! Hawana hati miliki ya hewa!!! hawana hati mikilki ya mvua!!!!! Hawana cha kutuzidi bali wote sisi na wao tunamtegemea Mungu kwa yote hayo. Wao kama wameamua rasmi kupingana na Mungu kama Taifa, waendelee wao!!!!! Rumi iliyotawala dunia leo iko wapi??? Nao watafuaa mkondo muda si mrefu!!!!! Uasi wa kitaifa hutangulia anguko la kitaifa, Ulaya na Marekani wataanguka!!!!!!
 
Dunderhead!

FB_IMG_1542047128765.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1542047128765.jpg
    FB_IMG_1542047128765.jpg
    19.1 KB · Views: 50
  • FB_IMG_1542047128765.jpg
    FB_IMG_1542047128765.jpg
    19.1 KB · Views: 49
Namuunga mkono Rais wetu mpaka mwisho!!!!!! Naiunga mkono serikali yetu mpaka mwisho!!!!! Hawa wazungu tukiwaendekeza tutailetea nchi yetu laana!!! Na laana huwa haina mwokozi!!!!!! Mvua zisiponyesha kwa kuendekeza usodoma wa wazungu nani atatuokoa? Tukishukiwa na majanga makubwa ya asili kama matetemeko, vimbunga na mafuriko ni nani atatuokoa? Tikivamiwa na magonjwa ya mlipuko na yasiyojulikana ni nani atatuokoa??? Dhambi ya sodoma wanayotaka kutuambukiza tusiionee haya hata kidogo, itatuletea laana!!! Nchi za ulaya ziko chini ya laana!! Hawana amani japo wanaonekana kuwa na kila kitu! Watuache na nchi yetu waiache. Hata wakiamua wooooote waondoke, Mungu atabaki na sisi!!!! Wala wasitutishe!! Hawana hati miliki ya uhai wetu, hawana hati miliki ya chanzo pekee cha nishati ambacho ni jua!!! Hawana hati miliki ya hewa!!! hawana hati mikilki ya mvua!!!!! Hawana cha kutuzidi bali wote sisi na wao tunamtegemea Mungu kwa yote hayo. Wao kama wameamua rasmi kupingana na Mungu kama Taifa, waendelee wao!!!!! Rumi iliyotawala dunia leo iko wapi??? Nao watafuaa mkondo muda si mrefu!!!!! Uasi wa kitaifa hutangulia anguko la kitaifa, Ulaya na Marekani wataanguka!!!!!!
mpate laana mara ngapi
 
11. Expresses serious concern about the pressure exerted by the Tanzanian Government on the EU Head of Delegation, Roeland van de Geer; welcomes the decision of the European Union and its Member States to conduct a comprehensive review of EU policies towards Tanzania; insists on the importance of political dialogue to seek tangible commitments from the Tanzanian authorities towards creating an enabling environment for the operation of civil society, political parties and the media; calls on the Commission to ensure that an explicit reference to non-discrimination based on sexual orientation is included in the future ACP-EU partnership agreement post-2020;

14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;

15. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice-President of the European Commission / High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the EU Special Representative for Human Rights, the ACP-EU Council, the institutions of the African Union, the institutions of the East African Community, and the President, Government and Parliament of Tanzania.

SOURCE: http://www.europarl.europa.eu/sides...+P8-RC-2018-0570+0+DOC+PDF+V0//EN&language=EN
Hili tamko ni hatari kwa uhuru wetu.
P.
 
Mtu yeyote ambaye siyo mnafiki kwa wazungu kila anachofanya kitakuwa kibaya tu. Jiulize wewe unayetetea ushoga kama akili yako iko sawa, jamii yetu inaangamia kwa sababu ya wachache wachumia tumbo, wako tayari kutetea mambo ya kishoga ili wapate mkate wao.
 
Ndugu yangu kisa cha kukinajisi Kiingereza kiasi hicho ni kipi hasa? Umeua ndege wawili kwa Jiwe moja in a wrong way. One, kama ulilenga waerevu wa Kiingereza wakuelewe basi umegonga mwamba. Two, umewatenga wasiojua lugha hiyo ya kigeni lakini umewaepusha na pumba uliziwasilisha kama hoja.

Nilipoona "Sarungi" nikamkumbuka Prof Sarungi na mwanae Maria, so I had high expectations from you. How wrong!
Ha ha haaa Chahali, nadhani kijana amefanya vizuri kwa uwezo wake.
Wewe Sasa nyooosha ili white house wakuelewe zaidi hasa ukizingatia wewe Ni mwandishi wa siku nyingi, huu Ni uwanja wako.

Kwa sisi tuliowengi tumeelewa. Lugha hata ikitumika ya ishara Ni sawa ili mradi ujumbe na Nia njema imefika.
 
Naomba Serikali yetu, kwa waraka wao huo, ibane zaidi matendo yote machafu yanayotetewa na hawa Wazungu, hatupaswi kulegeza kamba
 
Mtu yeyote ambaye siyo mnafiki kwa wazungu kila anachofanya kitakuwa kibaya tu. Jiulize wewe unayetetea ushoga kama akili yako iko sawa, jamii yetu inaangamia kwa sababu ya wachache wachumia tumbo, wako tayari kutetea mambo ya kishoga ili wapate mkate wao.
Hivi ushoga upo nchini au haupo???

Unaishi mji gani weeewe?

Waliuleta wazungu?

Binafsi yangu nafikiri tuanze kwanza kufuta shule za bweni, hasa za jinsia moja na pili kusiwe na shule za bweni chini ya advanced level

Tatu wale wenye matatizo ya hormones wasaidiwe kitaalam
 
1. Kwanini serikali inataja sharti moja tu la ushoga na kuacha masharti mengine yenye tija kama utawala bora, kufifia kwa demokrasia nchini, wanafunzi wanaopata mimba, sheria ya takwimu, kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na ukiukwaji wa haki za binadamu?
Kweli kabisa Mzee,serikali na vijana wa Lumumba wanashadadia ushoga while report imeelezea mambo kibao kuhusu uvunjaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia,hawaongelei kabisa
 
Nchi zote zilizowekewa embargo zilianguka kiuchumi na kushindwa kuwahudumia wananchi wake,unafikiri hawakuwa na mvua,jua na ardhi!?

Iran,Venezuela zina mvua,jua,ardhi na mafuta na still uchumi wao umebomoka kutokana vikwazo.
Hawana uwezo wa kutuwekea embargo ya jua, hewa, mvua, maji, ardhi etc!!!! Uhai wetu unatoka kwa Mungu, Watukome vizuri tu!!!!
 
Hiyo issue ya kutokuvaa niqab,sio tu kwa waislamu tu.....Ufaransa hurusiwi kuvaa ishara zozote za dini kwenye ofisi za serikali au mashuleni,inawahusu wakristo,Jews na dini zingine pia.
Hii ni history ndefu ya secularism iliyojengwa na hizo jamii za huko,kama una dini then ifanye huko chumbani kwako,ni maisha yako binafsi huna haja ya kuwatangazia wengine.

Lissu amepigwa risasi,kuna nini kimefanyika mpaka leo!!?waandishi wanapotea nini kimefanyika!!?kuna wanasiasa wanapenda jela na kufunguliwa mashitaka yasioleweka,kwasababu wametumia haki yao kukosoa serikali wakalalamike wapi!!?Vyombo vya habari kufungiwa na kunyimwa haki ya kujieleza,wakalalamike wapi!!?
Kama tunaipenda Nchi yetu,tuangalie pia inaenda wapi,E.U wanaweza kuwa na mabaya yao mengi tu lakini kinachoendelea kwenye hii lazima kimuumize mtu yoyote mpenda maendeleo na ukuaji wa hii nchi.

BTw,as much as tunawalaumu hao wazungu kutumia nguvu nyingi kutulazimisha kukubali ushoga(HAKUNA SEHEMU YOYOTE KWENYE HIYO REPORT WAMESEMA TUKUBALI NDOA ZA JINSIA MOJA bali KULINDA HAKI ZA WATU WOTE IKIWAMO WALE WA MAPENZI YA JINSIA MOJA)sisi pia tunatumia nguvu na muda mwingi kupinga ushoga while mambo ya msingi tunayaacha
Msomi, rejea jinsi EU wanavyowatenda wananchi wa uingereza walioamua kujitoa EU, walichowatenda wananchi wa kawaida wa ugiriki na hata wanavyowatenda waitaliano. Kisa hasa ni wananchi walio wengi walitumia nguvu ya demokrasia kuipinga EU. Hii demokrasia halisi si waanze huko kwao? Ulisikia vitisho vyao kwa Uingereza na nchi nyingine zinazotaka kujitoa EU? Demokrasia gani hasa?

Binafsi sikubali kulishwa matango pori, nchi nyingi na kubwa za ulaya hazina demokrasia halisi ya kisiasa wanayoihubiri kwa waafrika.
Tuchukuwe tu mfano wa Makao yao makuu Ubelgiji, mkuu wa nchi hachaguliwi kwa kura ila ni kwa damu.Kaskazini ya Ubelgiji (Flemish region) miaka nenda rudi hawataki huu uongozi wa kurithi na wanataka kujitawala.Tena wana lugha yao, serikali yao, mila na desturi zao tofauti na the rest of Belgium. Kila wakijitangaza kuwa nchi huru, EU inaingilia kati. Rejea sababu za Ubelgiji mara kwa mara kukaa bila serikali. Ni vita ya hawa jamaa kujitawala. Kwahiyo tukubaliane kuwa Democracy means different things to different people/nations.
Binadamu ni selfish by nature. I never fool myself kuwa EU have our interests at heart. EU ilitawala dunia nzima, mpaka bara la Marekani. Sasa hivi influence yao duniani imekufa imebaki ni umasikini wa waafrika tu ndo wakupumulia. Tukiweza kujiendesha, watabaki story.

Unajua nchi nyingi za EU ikiwemo Ufaransa, Austria, Denmank mwanamke wa kiislamu haruhusiwi kuvaa hijab au Niqab nje ya nyumba yake? Yaani wamepitisha sheria kabisa? Unakamatwa na kushtakiwa? Unapigwa fine au kifungo jela? Unajua ukiwa mtumishi wa umma kwenye nchi nyingi za Ulaya huwezi kuwa na ndevu zinazofugwa na baadhi ya waislamu? Nchi kama Denmark wanataka pia kupiga marufuku wanawake wa kiislamu kufunika kichwa kwenye ofisi za umma? Demokrasia gani wanayoiongelea kama kuna watu waliozaliwa na kukulia nchi zao hawana uhuru hata wakuvaa watakavyo ilihali ukiwa si muislamu ofisini unaweza tinga nusu uchu bila hata kupepesewa macho?

Kama Magu na chama chake ndo tatizo letu, tutafute njia za kupambana nao LAKINI sio kutumiwa na wakoloni.
 
Sorry ndugu hoja yako haina mashiko yoyote....nchi kibao zimekubali mahusiano ya jinsia moja toka miaka 1960s na ndoa za jinsia moja toka miaka ya 2000 na hakuna chochote kuhusu sodoma,gomorrha wala majanga ya kimataifa,so either Mungu wako hana tatizo hiyo hiyo issue au hayupo at all.

Btw mangapi mabaya tunafanya ambayo huyo Mungu wako hajatoa hayo majanga otherwise,kodi zetu zinaibiwa na kutumiwa kutajirisha matajiri,Watu kutembea na kuwapa mimba watoto wadogo,Watu kubaka watoto wadogo,Majamabzi kuua na kudhurumu watu,Uonevu wa kijinsia,watu kuharibu ndoa na kuchepuka kwenye ndoa na mengine mengi machafu yanayofanyika but Mungu wako yuko kimya ila hili ndo litamkera sana.

Btw,Yesu hakuongelea chochote kuhusu mapenzi ya jinsia moja bali aliongelea mara ngapi kuhusu matajiri na kujilimbikizia Mali,kutowajali maskini,Nchi hii wanasiasa wangapi wana makosa ya kujilimbikizia Mali na kuiba Kodi za wananchi,ila Mungu anakasirika akiona ushoga tu!!?
Namuunga mkono Rais wetu mpaka mwisho!!!!!! Naiunga mkono serikali yetu mpaka mwisho!!!!! Hawa wazungu tukiwaendekeza tutailetea nchi yetu laana!!! Na laana huwa haina mwokozi!!!!!! Mvua zisiponyesha kwa kuendekeza usodoma wa wazungu nani atatuokoa? Tukishukiwa na majanga makubwa ya asili kama matetemeko, vimbunga na mafuriko ni nani atatuokoa? Tikivamiwa na magonjwa ya mlipuko na yasiyojulikana ni nani atatuokoa??? Dhambi ya sodoma wanayotaka kutuambukiza tusiionee haya hata kidogo, itatuletea laana!!! Nchi za ulaya ziko chini ya laana!! Hawana amani japo wanaonekana kuwa na kila kitu! Watuache na nchi yetu waiache. Hata wakiamua wooooote waondoke, Mungu atabaki na sisi!!!! Wala wasitutishe!! Hawana hati miliki ya uhai wetu, hawana hati miliki ya chanzo pekee cha nishati ambacho ni jua!!! Hawana hati miliki ya hewa!!! hawana hati mikilki ya mvua!!!!! Hawana cha kutuzidi bali wote sisi na wao tunamtegemea Mungu kwa yote hayo. Wao kama wameamua rasmi kupingana na Mungu kama Taifa, waendelee wao!!!!! Rumi iliyotawala dunia leo iko wapi??? Nao watafuaa mkondo muda si mrefu!!!!! Uasi wa kitaifa hutangulia anguko la kitaifa, Ulaya na Marekani wataanguka!!!!!!
 
Hiyo issue ya kutokuvaa niqab,sio tu kwa waislamu tu.....Ufaransa hurusiwi kuvaa ishara zozote za dini kwenye ofisi za serikali au mashuleni,inawahusu wakristo,Jews na dini zingine pia.
Hii ni history ndefu ya secularism iliyojengwa na hizo jamii za huko,kama una dini then ifanye huko chumbani kwako,ni maisha yako binafsi huna haja ya kuwatangazia wengine.

Lissu amepigwa risasi,kuna nini kimefanyika mpaka leo!!?waandishi wanapotea nini kimefanyika!!?kuna wanasiasa wanapenda jela na kufunguliwa mashitaka yasioleweka,kwasababu wametumia haki yao kukosoa serikali wakalalamike wapi!!?Vyombo vya habari kufungiwa na kunyimwa haki ya kujieleza,wakalalamike wapi!!?
Kama tunaipenda Nchi yetu,tuangalie pia inaenda wapi,E.U wanaweza kuwa na mabaya yao mengi tu lakini kinachoendelea kwenye hii lazima kimuumize mtu yoyote mpenda maendeleo na ukuaji wa hii nchi.

BTw,as much as tunawalaumu hao wazungu kutumia nguvu nyingi kutulazimisha kukubali ushoga(HAKUNA SEHEMU YOYOTE KWENYE HIYO REPORT WAMESEMA TUKUBALI NDOA ZA JINSIA MOJA bali KULINDA HAKI ZA WATU WOTE IKIWAMO WALE WA MAPENZI YA JINSIA MOJA)sisi pia tunatumia nguvu na muda mwingi kupinga ushoga while mambo ya msingi tunayaacha

Hebu niambie umeshawahi kusikia mtu amekamatwa Ufaransa au kokote kule ulaya kwa kuvaa rozali au zile symbols za Jews? Hujawahi kukutana na waliovaa kuonyesha imani zao za kidini zisizo Islam tangu hizo sheria zipite? Tuseme ukweli, EU/watu wao wameamua kuwa anti- Islam na kinachofanyika ni mashindano nani ataonyesha ubabe/unyanyasaji zaidi kwa raia wao walio waislamu.

Lissu alishambuliwa zaidi ya mwaka sasa, kwanini imewachukuwa muda wote huo kutoa hilo tamko?Kwanini hawakujitokeza at a time Lissu alikuwa anahitaji support haraka zaidi kumpa sapoti na kumbana jiwe? Kwanini imewachukuwa kukamatwa James Delicious kusema presha imempanda yule balozi wao?

Tafadhali usiquestion uzalendo wangu. Naipenda nchi yangu na sipendi mataifa mengine kubehave kana kwamba sie hatuwezi kujiamulia na kujiendesha.
Museveni, Kagame na Nkuruzinza wote washawahi kuwekewa vikwazo na EU, na hata Kenyatta baada ya ule uchaguzi wake wa kwanza aliwekewa vikwazo na kupelekwa mpaka the Hague. Nini kilitokea? Ni wananchi wa kawaida tu ndo walicheleweshewa maendeleo. Sote tunajua Magu atawashiti tu na wao watajitutumua kumnyima misaada labda na kumpiga travel ban kwenda EU. Magu haendagi EU na Wakimnyima misaada kitakachotokea ni miradi ya maendeleo kama ya maji majimbo kama Singida Mashariki haitafanyika. Hapo sijui anayekomolewa ni nani?! Siwezi kuelewa wanaoshadadia unyimwaji wa misaada AU kutaka EU idictate nini tufanye.
 
Unaongelea nchi kama France ambayo population ni 69% irreligious na 29% ni atheists,ofcourse by default wataokamatwa wengi ni waislamu kwasababu pia France ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kuwa na waarabu wengi,ambao wengi ni waislamu pia. Utamaduni wa kifaransa kwa muda mrefu sana haukubaliana na mambo ya dini,mfano mzuri ni swala la Charlie Hebdo,gazeti lilikuwa lina'attack dini zote kwenye matoleo yake but ilionekana kama waislamu ndo wanaonewa,waislamu wengi ndio waliokuwa wanalalamika,ingawa wakristo,papa,Yesu na Mungu alikuwa anachorwa mara kwa mara pia.

E.U ilituma wajumbe Belgium kuongea na Lissu,muda mrefu sana kabla ya issue za ushoga kuibuka Tanzania,hiki ni kisingizio ambacho wengi tunapenda kukitumia kwamba E.U wameibuka kwenye issue za ushoga tu.
Mambo mabovu kwenye hii nchi yameanza zamani na yalikuwa yanaangaliwa tu na mataifa mengine.

Uhuru hakushinda kesi Hague!!?baada ya kushinda kesi,umeona anavyoishi na wapinzani wake!!?..... Future za kidemokrasia ziko wapi kwa Uganda,Rwanda na Burundi!!?unataka kuishi kwenye nchi ambayo unakatwa mshahara ili kuchangia uchaguzi wa kiongozi ambaye hataki kutoka madarakani,anajibadilishia katiba tu,kila inapokaribia uchaguzi!!!?

Siamini E.U iko perfect wala Mataifa ya Magharibi yako perfect,mengi yana makosa yao pia but mengi pia yamekomaa kidemokrasia na issue za haki za binadamu,tofauti na mataifa yetu huku ambako asilimia kubwa bado tuna'cherish authoritarian over democratic rule,na kwa namna moja au nyingine tunahitaji kuwe na watchdog ili kunapotokea uminywaji wa kidemokrasia/uvunjaji wa haki za binadamu tuwe na sehemu za kwenda kulilia,nchi nyingi za Africa hazijakua kidemokrasia kuwe atleats na tume huru kama mahakama kuu Ile ya Kenya ilivyofanya kwenye uchaguzi uliyopita,so twende tukalilie wapi haki zetu!!?

Tukuwe kidemokrasia,umeona E.U au Mataifa ya Magharibi yanahangaika na Nchi kama Ghana,Namibia au Botswana!!?ni nchi zinazoendelea kukuza demokrasia ya kweli na husikii kelele wala Kiki za kijinga.

Swala la Mwisho,wakati wa JK hakukuwa na issue za mashoga!!?alipokuwa anaulizwa alikuwa anajibu nini!!?"Hili sio swala langu binafsi ni swala la Utamaduni wa Kitanzania,tukifikia wakati watanzania wanapenda kuliongelea tutaongea"....Finito,hakuna kukamata mashoga wala kuhangaika nao,nani alidhurika au kukosa chochote!!?Hii mihemko ya ushoga inatoka wapi kama sio cheap publicity stunts kuonekana kama viongozi wanafanya kazi kumbe hamna lolote,btw hizo cheap publicity stunts pia zinatumika na viongozi wa ulaya kwa wanachi wao kuonyesha wanafanya kazi na kusimamia haki za binadamu,so tusilaumu upande mmoja tu.

Back
Top Bottom