European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Bure
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Bure kabisa
 
Upuuzi mtupu,wanalalama kwa kuwa Magufuli amekata mirija yao.Ili tuamini kwamba kweli wana utu,waache kuiuzia Saudi Arabia silaha,silaha ambazo zinaua watoto,akina mama,wazee nk.na kwa ujumla zimeifanya Yemen kuwa taifa la kufikirika.Vinginevyo wanyamaze.
watakuelewa wachache mkuu, ila umeongea jambo kubwa mno,

hawa jamaa hawana upendo na sisi hata kidogo, wanachoangalia ni maslahi yao

Magufuri kuna sehemu amewabana ndio maana wamepata sababu ya kubweka

kama wangekua na upendo na nchi zingine wangeänza na saudia ila kwakua ni puppet wao, wanamwacha aendelee kuua watoto Yemen ilimladi hagusi maslahi yao

Hapa tatizo si demokrasia, tatizo ni kukataa kusaini EPA, mgogoro wa madini na Acacia

Wasitudanganye.
 
Hili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.

Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.

Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?

Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!

KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA
Mkuu upo smart! Nimekuelewa Na umemaliza.
 
Inawezekana ni issue ya economy lakini pia tukumbuke wabunge na viongozi wa E.U wana tasisi na wananchi wake,means wanafanya kazi chini ya hizi tasisi na wananchi wao na Mambo ya haki za LGBTQ na haki za mtoto wa kike ndio zina nguvu sana duniani sasahivi....lazima wananchi na hizo Tasisi wamepeleka malalamiko kuwa Tanzania inawezaje kuendelea kupokea misaada while Watoto wa kike na hao LGBTQ community wananyimwa haki.
I can understand your perspective too....

Tuseme either way,EU ka-react baada ya kuingiliwa interests zake!

Na kama LBGT ni "interests" zake,basi yameguswa ndio maana wame-react accordingly..

Nadhani interests zao hasa ni economic and security interests kuna mahali jiwe kawaingilia,sasa walikua wanamtafutia pa kumkamatia,na ndio walipomshikia..Thats how I see it!

EU hana upendo mkubwa kiasi hicho cha kutetea haki za watoto wenye mimba,LBGTs,Lissu,etc..kuna mahali jiwe ka-cross their interest lines!

Sent from my LG-H990 using JamiiForums mobile app
 
We had a leader less than five years ago and you never stopped insulting him. Magu kaza hapo rais wangu mpaka tutaftane. Kudaadeki

Naye atakaziwa hapo hapo mpaka akili imkae sawa. Ule wizi wa kura na ukatili wakati wa uchaguzi lazima ufike mwisho. Hupendi usilazimishe kuongoza wasiokukubali. Hao wazungu tutawasupport kama Walibya walivyofanya kwa Gaddaf. Kinyume na hapo aheshimu box la kura kisha tutamuunga mkono dhidi ya wazungu.
 
watakuelewa wachache mkuu, ila umeongea jambo kubwa mno,

hawa jamaa hawana upendo na sisi hata kidogo, wanachoangalia ni maslahi yao

Magufuri kuna sehemu amewabana ndio maana wamepata sababu ya kubweka

kama wangekua na upendo na nchi zingine wangeänza na saudia ila kwakua ni puppet wao, wanamwacha aendelee kuua watoto Yemen ilimladi hagusi maslahi yao

Hapa tatizo si demokrasia, tatizo ni kukataa kusaini EPA, mgogoro wa madini na Acacia

Wasitudanganye.
Lakini ni kweli demokrasia inaminywa kidikteta. Usitafute visingizio mkuu.
 
Actually wameshaacha baadhi ya Mataifa kwenye E.U yameshaacha kuiuzia Saudi Silaha,naamini ni ufaransa pekee ndio imebaki ambayo bado haijaamua ila iko kwenye mchakato
Upuuzi mtupu,wanalalama kwa kuwa Magufuli amekata mirija yao.Ili tuamini kwamba kweli wana utu,waache kuiuzia Saudi Arabia silaha,silaha ambazo zinaua watoto,akina mama,wazee nk.na kwa ujumla zimeifanya Yemen kuwa taifa la kufikirika.Vinginevyo wanyamaze.

Sent from my LG-H990 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo swala la ushoga unaliona sawa tu
Jitoeni ufahamu tu mkuu....

Mmeona ushoga tu basi tafutieni ufumbuzi ndio maana tumewachagua kwa kazi hizo!

Tafuteni majawabu kwa agenda zote sio ushoga tu,maana naona mnaikomalia sana!

Haya,go to work!
 
Lakini ni kweli demokrasia inaminywa kidikteta. Usitafute visingizio mkuu.
mkuu moja kati ya misingi mhimu wa demokrasia ni uhuru wa kutoa maoni

Hii nchi isingekua na demokrasia hata hii forum ingefungwa maana ni platform ya watu kutoa maoni

Ambacho kinazuiliwa ni mazoea ya watu kutoa matusi kwa viongozi na si vinginevyo

Na ndio maana kila siku unawaona kina fatma karume wanaongea bila kuguswa
 
Have you read between the line? Or you are full of hypocrisy with Magufuli's regime?, my brother you're just wasting your time.
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.

Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.

Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
 
watakuelewa wachache mkuu, ila umeongea jambo kubwa mno,

hawa jamaa hawana upendo na sisi hata kidogo, wanachoangalia ni maslahi yao

Magufuri kuna sehemu amewabana ndio maana wamepata sababu ya kubweka

kama wangekua na upendo na nchi zingine wangeänza na saudia ila kwakua ni puppet wao, wanamwacha aendelee kuua watoto Yemen ilimladi hagusi maslahi yao

Hapa tatizo si demokrasia, tatizo ni kukataa kusaini EPA, mgogoro wa madini na Acacia

Wasitudanganye.
Watanzania huwa hatuelewi lolote mkuu.Ndio maana kwa ujinga tumekuwa categorized 10th from the most stupid.
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Pascal namba kumi unaiongeleaje ?!. Mungu anakuona Pasco.
 
Back
Top Bottom