mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Hiyo ni makusudi, hawakutaka kumtaja jina huyo mbunge wa ar*sha. Ila wazungu katika hili nimewatoa kwenye orodha ya w*tu! ni wanyama hawa!Gofrey luena mp wa wapi??
Hiyo ni makusudi, hawakutaka kumtaja jina huyo mbunge wa ar*sha. Ila wazungu katika hili nimewatoa kwenye orodha ya w*tu! ni wanyama hawa!Gofrey luena mp wa wapi??
Ushoga ndiyo sababumambo yanayohatarisha usalama wa nchi. Hii hutokea kote duniani. ni halali kama walijihusisha na yao kubwa. Vingine vyote ni visingizio tu. Hao maafisa wa UN kufukuzwa ni sawa, yawezekana walikiuka misingi yetu kama taifa na wakawa tishio kwa usalama wa nchi yetu.Kwenye huo waraka wameongea mambo mengi sana yanayoendelea hapa Tanzania... Ila watu wamekomalia ushoga tu, mengine kama vile hawayaoni
whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania
Hawana uwezo wa kutuwekea embargo ya jua, hewa, mvua, maji, ardhi etc!!!! Uhai wetu unatoka kwa Mungu, Watukome vizuri tu!!!!Wewe mtu ni empty head kabisa,hivi huwezi kuingia hata google upate elimu za uchumi?unadhani tukiwekewa embargo bibi yako kijijini ataishi vipi?sisemi magufuli ni dikteta hapana,ni raisi na wananchi tumemchagua sisi hasa mimi,ila kama kuna concern acha zisemwe,hata Hitler alikuwa anashangiliwa kabla ya kushtukia idadi ya watu waliokufa,hakuna binadamu anayestahili kufa kwasababu yoyote ile,yaani nadhangaa hapo unasema raisi kavunja katiba alafu bado kama una muunga mkono,hapa nadhani unamponda kijanja,unataka kuthibitisha raisi kavunja katiba,una uma na kupuliza,kama uko against na raisi njoo straight tujue,
Kwani bunge limezuiwa leo kuonyeshwa live? Hawa wasenge wazungu walikuwa wapi kutetea bunge letu kuonyeshwa live? Wamesubiri Makonda kushambulia wasenge ndo wazungu woooote kuamka na kutetea usenge kwa kujificha kwenye bunge live? Watukome!!!Kumbe bunge likioneshwa live huwa wanafirana huko bungeni?
Sio kwamba kipindi cha JK tulikuwa na umoja! La hasha bali Kipindi cha JK serikali ilikuwa inafuata utawala wa sheria na Uwazi. Mambo mengi yalikuwa wazi na Uhuru wa kujieleza ulikuwa mkubwa na ndio maana mambo ya Ushoga yalimezwa sababu watu walikuwa huru kujieleza na hata kuiburuza serikali mahakamani lilikuwa jambo la kawaida. Kipindi cha JK Serikali iliogopa wananchi tofauti na leo wananchi wanaiogopa Serikali ambapo sio kitu cha kawaida kwa nchi yenye utawala wa sheria na Uhuru wa kujieleza.Nimekuelewa sana na reference ya hayo kipindi cha jk haya mambo ya ushoga yaliletwa ila kwasababu tulikuwa na umoja tulipinga wote kwa nguvu moja ila hii hali ya mateso ya upande mmoja tunawaachia wapambane nalo
Msomi, rejea jinsi EU wanavyowatenda wananchi wa uingereza walioamua kujitoa EU, walichowatenda wananchi wa kawaida wa ugiriki na hata wanavyowatenda waitaliano. Kisa hasa ni wananchi walio wengi walitumia nguvu ya demokrasia kuipinga EU. Hii demokrasia halisi si waanze huko kwao? Ulisikia vitisho vyao kwa Uingereza na nchi nyingine zinazotaka kujitoa EU? Demokrasia gani hasa?Mkuu usiendeshwe na blind patriotism kwa kulishwa maneno ya CCM na watawala!
Wewe kama mtu independent mwenye akili soma document ya EU uone mahali hawatetei uhuru,demokrasia,uuaji,katiba,haki za wote,etc then uniambie!
EU wameelezea kwa kinaga ubaga kinachovunjwa na kipi kirekebishwe otherwise una-face concequances! Vyote walivyotaja ni valid ukipinga utakua mnafiki mkubwa!
Ishu ya ushoga wameeleza vizuri mle....wewe umesoma,una akili,kuhusu haki zao ni very basic kwamba wasihukumiwe bila kufuata utaratibu sahihi wa mahakama..
EU haijatoa tangazo eti wanaume na wanawake TZ waanze kufanya mapenzi kinyume na maumbile na ndoa za kishoga zianze.....Noooooooooo...Hakuna kitu kama hicho..Ukisema ni hivyo nitakuona mpumbavu kabisa na mnafiki sana maana document haisemi hivyo asilani!
Sergeant Francis Hingo IlogiThubutu!, huyohuyo Mwingereza si ndo mwalimu alienda kumpigia magoti na kumlilia kumuomba aje awatulize wajeda waliokuwa wanataka kumn'goa magogoni mwaka 1964?
Ile move ya mwalimu kuvunja uhusiano wa kibalozi na uingereza ilikuwa kujikosha tu mbele ya mataifa ya Kiafrika na kurudisha credibility ili isionekane karudishwa madarakani na mkoloni baada ya jaribio la kumn'goa mwaka 1964 lililoongozwa na kamanda Ilogi!
Mkuu hizo hizo ndio mahakama zetu, na zinapaswa kuheshimiwa.Hizi mahakama za Gachacha?
Kwanza mwanasheria mkuu mwenyewe hana sifa kuna nini hapo?
Unateta ujinga halafu umeshupaza shingo!sheria mpya za takwimu umeshazisoma?
Unaweza kutuwekea hapa tuone ubaya wake?
Magufuri hakuzuia mikutano ya kisiasa, alitoa utaratibu wa kila mbunge kufanya mikutano jimboni kwake kwa kufata sheria
kanuni za maudhui mitandaoni ziliasisisiwa na kikwete, mbona sikusikia kelele za wazungu?
kufungia magazeti ilikuepo tangu enzi hizo ila sikusikia kelele za wazungu,
Hii nshu ya wizi wa kura mliambiwa kama mna ushahidi mwende mahakamani.
Ujinga na uhayawani wa kibavicha at his best.Hili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.
Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.
Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?
Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!
KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA
ujinga ni nini?Unateta ujinga halafu umeshupaza shingo!
Kwani Canada ni mwanachama wa EU????kipindi ndege yetu imezuiliwa hapo canada,
Magufuri alimwandikia waziri mkuu wa canada kumtaka ndege iachiliwe bila mashariti ila jamaa alichokifanya ni kumwambia magufuri kwamba hilo suala liko mahakamani na hawezi kuliingilia
Leo wanamtaka magufuri aingilie mamlaka ya mahakama ili awatoe wanasiasa
Why double standard?
Rudi shule kasome Philosophyujinga ni nini?
Kupiga raia risasi ni sehemu ya musingi yetu???Ushoga ndiyo sababumambo yanayohatarisha usalama wa nchi. Hii hutokea kote duniani. ni halali kama walijihusisha na yao kubwa. Vingine vyote ni visingizio tu. Hao maafisa wa UN kufukuzwa ni sawa, yawezekana walikiuka misingi yetu kama taifa na wakawa tishio kwa usalama wa nchi yetu.
Mkiwa vyumbani hizo Tigo mnazipenda mpaka udenda unawatoka. Wafiraji na wafirwaji wakubwa nyieKwani bunge limezuiwa leo kuonyeshwa live? Hawa wasenge wazungu walikuwa wapi kutetea bunge letu kuonyeshwa live? Wamesubiri Makonda kushambulia wasenge ndo wazungu woooote kuamka na kutetea usenge kwa kujificha kwenye bunge live? Watukome!!!
Hahaha!Daah!Mkuu nani ameandika huu ujinga?The European Parliament Resolution on Tanzania (2018/2969(RSP)) is all about LGBTI people
In case you don't get it LGBTI stands for LESBIAN, GAY, BISEXUAL, TRANSGENDER & INTERSEX PEOPLE
Yaani kwa kiswahili Ni Maazimio ya Umoja wa Ulaya kwa Tanzania kuhusu WASAGAJI, MASHOGA, NGONO ZA JINSI MOJA, NA WATU WENYE MAUMBILE ZAIDI YA AINA MOJA
Daniel Sarungi
Mzalendo
Team, I have gone through the resolution and all it's references including the OHCR of November 2, 2018 the LGBT Toolkit, ACHPR and 'Cotonou Agreement (ACP-EU) which include Africa, Caribbean and Pacific Group of states and Tanzania signed it (only Cuba did not sign)
I have also gone through the newsfeed and Tanzania Constitution I have found the following;
The statements from the EU can be regarded as directions, commands or instructions that Tanzania MUST comply, but because they don't have such a power to a Sovereign state then automatically their instructions can be defined as a threat for Tanzania in exchange to relation among EU and Tanzania. In other hand it is clear that EU has Blackmailed Tanzania.
I have realise that EU have been filled with hatred and false information for the benefits of informers
Due to that I will respond to several agendas as follows:
1. Deteriorating political situation by shrinking the public space through tightening of restrictions on activities of Civil Society Organizations and Human rights defenders
My Response:
Firstly I would like to remind EU that Tanzania is still and will always be home/hub for Human right defenders from other countries to come and rest while proceeding with their peace of mind. We both know that.
All Civil Organisations in Tanzania have registered as per the rules and regulations of the country,
It happens many times when an organization is not doing what it was registered for, instead it is *operating its hidden agendas* to disrupt peace among the community with the umbrella of Human rights, Clearly that's illegal concern. It is our hope that these CSOs now start by helping the communities through access to facilities.
2. PAUL MAKONDA ends his provication against LGBTI
My response:
That was already responded by government on 4th November 2018
3. Independent Investigation
My response:
In EU when a police initially record an offense as HOMICIDE it remains CLASSIFIED to as many years as possible unless the Police or Courts decide that a lesser offense or no longer recorded.
In UK for example, the *year 2017 more than 719 deaths were recorded as Classified* (refer to crime and justice, at the Office for National Statistics)
And investigation can undertake even more than 10 years, we have seen the same with UK. What makes you think that Tanzania have failed to investigate such deaths?
In Tanzania, all cases are being investigated and have positive progress. Next time you should at least request an official update from the Court/Police regarding the status.
4. The Cotonou Agreement
My Response:
The Cotonou agreement signed in Cotonou for 20 years since 2000 - 2020 with a room to review every 5 years.
The agreement based on three pillars
1) Development Cooperation
2) Political Cooperation
3) Economic and trade cooperation (this ended 2007)
There is no any single place in agreement where explains or have mentioned LGBTI
5. Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality
My Response
Apart from the technology impact and the age of new era, we as Tanzanians have our core values. The values and culture we believed in are still the same we believe in today.
*"Hatuwezi kuruhusu Ushoga kwenye Katiba"*
Homosexual is not a human right however LGBTI people deserve respect and equal rights, yes but allowing it openly to community that's not our culture.
7. Cyber crime act to Guarantee freedom
My response
*Freedom without law is a war*. Let me remind EU that there is freedom and there is insulting, one of them is not a Human Right. The Court will decide what's an insult and what's a freedom
8. President Magufuli's statement that Girls who give birth should not be allowed to return to school.
My Response:
You misquoted the President. Education is a human right. People get education in many ways.
The Government decided to pay school fees to all students in Government Schools so they can get their right to education.
When it comes any of them gets a pregnancy, she will not return to government school but she has a room for Private schools after giving birth, she cannot return to the same school due to psychological reasons. she can even join with Vocal Education and Training Authority (VETA). This is how it was since the earlier ages of this Nation.
9. Release Political Prisoners
My Response:
All people are equal before the law. Being an opposition doesn't give you an immunity when it comes to state laws.
Political Prisoners (as per EU), will be released as per laws and regulations of the country. The Judiciary is a separate entity and doesn't work under pressure.
The rule of law, once in the Court, the government cannot intervene
I'm wondering where the EU get that confidence to come up with such resolution, I conclude as bad Intel comes from those that they decide to aside with.
Regards