European Parliament resolution on Tanzania

Hili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.

Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.

Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?

Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!

KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA
Mfano mzuri ni wakati wa JK hakukuwa na kelele za UN sababu pamoja na kuwa kuna vitu havikuwa sawa lakini hatukuwahi kushutumiwa na kwa shutuma nzito na zilizowekewa mkazo kama hivi. Kiongozi wetu ana shida.
 
Hilo la kupitish SHERIA ZA USHOGA mi mwenyewe sikubaliani nalo, kabisa, sisi tuna MISINGI YA DINI NA MILA ZETU, na tunaweza kulikataa kwasababu MAHAKAM YA KKIMAITAIFA week iliopita walitoa hukumu USHOGA SIO HAKI YA BINAADAMU (Wamejikanyaga kauli yao na mahakama yao). Hilo tunaweza kukataa.

Ila hayo mengine, ni vigumu kuyakataa, hakuna LOOPHOLES za kisheria kuyakataa.

Pia, ICJ imeadhibi waafrika (viongozi/raia) wengi sana utasema ilianzishwa kwaajili ya kufunga waafrika tu (Japo kuna viongozi wa nchi za ulaya, hasa nchi masikini walishawahi kufungwa pia).
niwekee citation ya hiyo kesi mkuu... usitake kutupotosha!
 
Tafadhali niombe RADHI kwa kunituhumu kua nataka KUWAPOTOSHA, kwani swala hili lipo wazi. Tatizo hamfatilii habari na maazimio ya kimataifa mkuu, mnapelekwa tu kushoto na kulia.

NARUDIA TENA: Mahakama ya Haki Za Binaadamu Ya Ulaya (European Court Of Human Rights) IMEKATAA NDOA ZA JINSIA MOJA NA USHOGA KUA SIO "HAKI ZA BINAADAMU"!!!!!!! (Nituhumu tena kua nataka kuwapotosha)[emoji53] [emoji57] [emoji18]

Link hizi hapa;

Gay couple lose human rights case

By this decision, the European Court of Human Rights unanimously recalled that the European Convention on Human Rights does not include the right to marriage for homosexual couples, neither under the right to respect for private and family life (art. 8) nor the right to marry and to found a family (art. 12).

The ECHR Unanimously Confirms the Non-Existence of a Right to Gay Marriage
 
Kwenye huo waraka wameongea mambo mengi sana yanayoendelea hapa Tanzania... Ila watu wamekomalia ushoga tu, mengine kama vile hawayaoni

whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania
 
Mfano mzuri ni wakati wa JK hakukuwa na kelele za UN sababu pamoja na kuwa kuna vitu havikuwa sawa lakini hatukuwahi kushutumiwa na kwa shutuma nzito na zilizowekewa mkazo kama hivi. Kiongozi wetu ana shida.

Ndio ana shida, tena kubwa sana. Ameshindwa kabisa kuvumulia unafiki wa EU kutupa dawa za mbu na kuondoka na mchanga. Muda umefika sasa tuachane na misaada tuanze mikataba ya biashara ya waziwazi sio huu usanii wa kusaidiana vyandarua.
 
Tatizo kuu la Tanzania na EU ni Mkataba wa kionevu wa EPA tuliokataa kuingia na kusababisha Nchi majirani walio tayari - Kenya na Rwanda kushindwa kuanza kutekeleza kwa kuwa Mkataba huo unataka Nchi zote kama Kundi (Block) kuingia mkataba.
Yaani ni shida tupu. Wanatuonea tu.

Huenda ikawa ni hiyo....au pia mengine!

Shida ni jinsi jiwe atakavyotumia akili ya kuzaliwa kuwazidi chess game hawa vultures!

EU walichokitoa kwenye azimio lako ni valid pia,na hapo mimi nawaunga mkono,mengine jiwe apambane na serikali yake kuyavuka!

Tatizo ni uzembe wa jiwe tu,yaani uonee wananchi mpaka EU apate kisingizio cha kupitia kukuadhibu?Unatakiwa uwe perfect EU asipate kisingizio....

Adui hua anatafuta weakness yako ilipo,na hapo kwenye haki na demokrasia jiwe ndio anapofeli na EU wanapitia hapo hapo....

Kwa mimi as a human being,you cant trade my freedom for anything!
 
Pascal Mayalla huwa nakuelewa sana tuu na mimi nataka iwe hivyo ili tuone aliyeshika makali na mpini ni nani.

Wazungu walianza kumtafuta Gaddafi hivi hivi wakamtega ili akatae akasema anachosimamia ni maslahi ya wananchi wake, nakumbuka hata yeye alikuwa na lugha kama yetu ya kuwaita mabeberu wanataka mafuta, mwisho wake kila mtu anajua.

So hata sisi we have to be very careful tunapo dili na watu kama hawa tukiendekeza mihemuko hataumia rais peke yake bali sote tutaumia.
Na ukweli huu unatakiwa kila mtu aujue
 
kwa kweli hapa tulipofika niko pamoja na Raisi wangu na serikali yetu. Hawa jamaa sasa naona wanataka kutushika makalio. haiwezekani wakaja na hoja ambazo wanalazimisha nchi masikini kuzifuata. Yote hapo tunaweza kukaa round table tukayajadili lakini moja ambalo naona ndiyo limebeba hoja zoote sijui 'LGBT' hapa kamwe tuwatoe nduki na manati tu na hata tufute mahusiani, TAnzania siyo nchi ya kwanza kuzuia huo ungese, na ninamuomba Raisi wetu aitishe press na awatukane kama alivyofanya Mugabe. Kama kweli masikini analazimishwa kwa staili hii sasa basi yatosha, tuanze kujitafakari na tufunge mkanda kwa mara ya pili (ule wa mwanzo haujafunguliwa). Hii nchi ni kweli sisi ni matajiri ila bado hatujajitambua.
 
Mkuu

Nikipata vijisenti najenga documentary kabisa aisee!

Nakusanya materials yote yanayotoka sasa hivi....videos zake,magazeti,vituko vya lissu,makonda na clouds,mo,korosho,makinikia,rwanda,bombadier,utumbuaji,fungafunga mbowe,tra,etc,etc..siachi kitu...

Nikija fyatua documentary 2026 ni best seller na nakua rich forever!
naomba tuwe pamoja mkuu mimi nitatiamo sauti[emoji23][emoji23]
 
The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania, including that of 12 March 2015,

– having regard to the Declaration by High Representative Federica Mogherini of 15 November 2018 on behalf of the EU on EU-Tanzania relations,

– having regard to the local EU statement of 23 February 2018 on the rise in politicallyrelated violence and intimidation in Tanzania,

– having regard to the Council conclusions of 16 June 2016 on LGBTI equality,

– having regard to the statement by Michelle Bachelet, UN High Commissioner for Human Rights (OHCHR), of 2 November 2018 on the prosecution and arrests of LGBT people in Tanzania,

– having regard to the EU Council’s Toolkit to promote and protect the enjoyment of all human rights by lesbian, gay, bisexual and transgender people (the LGBT Toolkit),

– having regard to the Universal Declaration of Human Rights, the International Covenant on Civil and Political Rights and the Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination against Women,

– having regard to the UN Convention on the Rights of the Child,

– having regard to the African Charter on Human and Peoples’ Rights (ACHPR),

– having regard to the ACP-EU Partnership Agreement (‘Cotonou Agreement’),

– having regard to Rules 135(5) and 123(4) of its Rules of Procedure,

A. whereas, since the election of Tanzanian President John Pombe Magufuli in 2015, basic rights in the country have been undermined through repressive laws and decrees; whereas critical journalists, opposition politicians and outspoken civil society activists have faced threats, arbitrary detention and harassment;

B. whereas there has been increasing stigmatisation, violence and targeted arrests against LGBTI people over the past two years in the country; whereas, under Tanzanian law, same-sex relationships are criminal offences punishable by 30 years to life imprisonment; whereas Tanzania’s anti-homosexuality law is among the harshest in the world;

C. whereas suspected gay men in Tanzania are subjected to forced anal examinations, a discredited method of ‘proving’ homosexual conduct that the United Nations and the African Commission on Human and People’s Rights have denounced as torture;

D. whereas Paul Makonda, the regional commissioner of Dar Es Salaam, has been a prominent advocate of the repression; whereas, at a press conference on 31 October 2018, he announced the creation of a task force to track down gay men, prostitutes and people conducting fraudulent fundraisers on social media; whereas he called on the public to report suspected gay people to the authorities;

E. whereas the Ministry of Health has temporarily suspended the provision of HIV and AIDS services at community level and has closed drop-in centres for key populations, including gay men; whereas it closed 40 health centres on 17 February 2017 for allegedly encouraging homosexuality; whereas several organisations have reported that the crackdown on the LGBTI community has resulted in HIV-positive men failing to access their anti-retroviral treatment, while others have stopped accessing testing and preventive services;

F. whereas in November 2018 ten men were arrested in Zanzibar for allegedly conducting a same-sex marriage ceremony; whereas 13 health and human rights activists were arrested on 17 October 2018 for participating in a meeting to discuss a law restricting the access of LGBTI people to some health services;

G. whereas many children and adolescents, particularly girls, are exposed to human rights abuses and harmful practices, including widespread sexual violence, corporal punishment, child marriages and teenage pregnancies, that make schooling difficult or impossible for them; whereas the Tanzanian Government obstructs access to sexual and reproductive health services and intimidates organisations providing information about such services;

H. whereas on 22 June 2018 President Magufuli issued a declaration banning pregnant girls from attending school; whereas the authorities are intimidating civil society organisations (CSOs) that advocate the rights of pregnant girls to go back to school;

I. whereas the Tanzania Commission for Human Rights and Good Governance has not been operational for some time; whereas President Magufuli has not appointed commissioners or other office bearers to the Commission;

J. whereas the government has shut down or threatened privately owned radio stations and newspapers, and ended live transmissions of parliamentary debates; whereas local channels and decoders which air local channels have been closed;

K. whereas Tanzania’s National Assembly passed the Cybercrimes Act in 2015 and the Online Content Regulations in September 2018 with the aim of controlling content used on social media; whereas the Statistics Act adopted in 2015 states that it is not allowed to discuss or question certain statistics communicated by the government;

L. whereas leading opposition members are regularly arrested on charges ranging from allegedly insulting the President to false information and sedition; whereas 20 members of Tanzania’s main opposition party were arrested in July 2018 over claims that they were fomenting trouble; whereas several political opposition members and parliamentarians have been violently attacked and even killed since the start of 2018; whereas on 22 February Godfrey Luena, a member of parliament with Tanzania’s main opposition party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and a vocal land rights defender, was killed with machetes outside his home; whereas in November 2018 the programme coordinator of the Committee to Protect Journalists (CPJ), Africa Angela Quintal, and her colleague Muthoki Mumo were arrested and released after pressure by international institutions;

M. whereas tourism development in recent years has led to increased activity, particularly in the Serengeti region where the Maasai live; whereas the control of arable or scarce land for speculative purposes has led to strong tensions in the area;

N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

O. whereas the EU High Representative Federica Mogherini has announced a comprehensive review of the Union’s relations with Tanzania;

1. Expresses its concern about the deteriorating political situation in Tanzania characterised by a shrinking of the public space through the tightening of restrictions on the activities of civil society organisations, human rights defenders, the media and many political parties; is especially worried about the deteriorating situation for LGBTI persons;

2. Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence;

3. Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice;

4. Reminds the Tanzanian Government of its obligation, including commitments made under the Cotonou Agreement, to protect the rights, dignity and physical integrity of all its citizens in all circumstances;

5. Calls on Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality;

6. Urges the EU and its Member States to make full use of the LGBT Toolkit to encourage third countries to decriminalise homosexuality, help reduce violence and discrimination and protect LGBTI human rights defenders;

7. Calls on the Tanzanian authorities to amend all restrictive provisions in the Cybercrimes Act, the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations and the Media Services Act and replace these with provisions that will guarantee freedom of expression and the media in line with international human rights standards;

8. Calls on the Tanzanian authorities to repeal any laws, policies or other barriers to services and information that women, girls and young mothers need for a healthy life, most notably President Magufuli’s declaration that girls who give birth should not be allowed to return to school, including the repeal of regulations that make it legal for pregnant girls to be expelled from school;

9. Urges the President of Tanzania to make the country’s Human Rights Commission operational as soon as possible, to appoint commissioners to follow up on human rights violations, and to take action to support domestic workers abroad;

10. Calls on the Tanzanian authorities to release political prisoners;

11. Expresses serious concern about the pressure exerted by the Tanzanian Government on the EU Head of Delegation, Roeland van de Geer; welcomes the decision of the European Union and its Member States to conduct a comprehensive review of EU policies towards Tanzania; insists on the importance of political dialogue to seek tangible commitments from the Tanzanian authorities towards creating an enabling environment for the operation of civil society, political parties and the media; calls on the Commission to ensure that an explicit reference to non-discrimination based on sexual orientation is included in the future ACP-EU partnership agreement post-2020;

12. Expresses concern at the situation of the Maasai people; denounces the use of force by the authorities and security forces;

13. Calls on the Tanzanian authorities to act decisively to safeguard the rights of civil society organisations, human rights defenders, journalists, health workers and political activists in accordance with the Tanzanian constitution, the African Charter of Human and Peoples’ Rights and the country’s international and regional obligations and commitments;

14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;

15. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice-President of the European Commission / High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the EU Special Representative for Human Rights, the ACP-EU Council, the institutions of the African Union, the institutions of the East African Community, and the President, Government and Parliament of Tanzania.

SOURCE: http://www.europarl.europa.eu/sides...+P8-RC-2018-0570+0+DOC+PDF+V0//EN&language=EN
Hawa Wasenge wa Ulaya wasitupangie
Tanzania ni nchi huru kama issue ni fedha wabaki nazo kwanza Tanzania hatutumii sarafu ya Ulaya wala sarafu ya ufaransa au German.
Na wale mawakala wa Mashoga kwa kisingizio cha vyama vya Upinzani mpk February tutaelewana tu
 
Hivi unajua hata akina Saddam Hussein,Muammar Gaddafi,na nchi kama ya Iran na wengine wengi walianza kutungiwa resolutions kama hizi hizi kabla mambo hayajakuwa mabaya kwao?
Hiki si kitu cha kupuuza,EU wanajua haya hayatatekelezwa na ndo mpango wao huo na baada ya hapo they will come up with option number 2(another resolution) which will be even more demanding and bitting.Na baada ya resolution number 2 wote tutachoka sana.
Hii inanikumbusha ule msemo "ukitaka kumchinja kobe,unamlia timing"
 
Tafsiri jamani sio kila mtu ambaye amehenda shule hapa
 
Tafadhali niombe RADHI kwa kunituhumu kua nataka KUWAPOTOSHA, kwani swala hili lipo wazi. Tatizo hamfatilii habari na maazimio ya kimataifa mkuu, mnapelekwa tu kushoto na kulia.

NARUDIA TENA: Mahakama ya Haki Za Binaadamu Ya Ulaya (European Court Of Human Rights) IMEKATAA NDOA ZA JINSIA MOJA NA USHOGA KUA SIO "HAKI ZA BINAADAMU"!!!!!!! (Nituhumu tena kua nataka kuwapotosha)[emoji53] [emoji57] [emoji18]

Link hizi hapa;

Gay couple lose human rights case

By this decision, the European Court of Human Rights unanimously recalled that the European Convention on Human Rights does not include the right to marriage for homosexual couples, neither under the right to respect for private and family life (art. 8) nor the right to marry and to found a family (art. 12).

The ECHR Unanimously Confirms the Non-Existence of a Right to Gay Marriage
Haya maamuzi yalishatenguliwa na mahakama ya juu! Unajua maana ya doctrine of precedent wewe?
 
Back
Top Bottom