Huyu bila kichapo, hatajirekebisha!Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.
Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Huyu bila kichapo, hatajirekebisha!Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.
Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
... acha uvivu! Just Google, habari hizi zimeenea duniani kote; link: Joint motion for a resolution on Tanzania - RC-B8-0570/2018Hii kitu lugha iliyotumika inaashiria kabisa imetungwa hapa hapa nyumbani. Sitoamini hii resolution hadi nione verified link ya website ya EU yenye hili bandiko.
Sawa James delicious tumekusikiaHuyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.
Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
@mods mpeni ban huyu mtuSawa James delicious tumekusikia
Wa mambasa ataka nipewe Ban.. Mna umoja ninyi.. Baki hukohuko Mombasa... Dar makonda atawasukumia ndani@mods mpeni ban huyu mtu
Nimewaza kwa 3D nimekuelewaKuna mihimili mingine ipi?. Hujausikia mihimili uliojichimbia zaidi?. Kama katiba imekanyagwa then kuna sheria gani unayoizungumzia?. Hawa EU wanajifurahisha tuu mbele ya Magufuli, hapangiwi!.
P
Pascal Mayalla huwa nakuelewa sana tuu na mimi nataka iwe hivyo ili tuone aliyeshika makali na mpini ni nani.Kuna mihimili mingine ipi?. Hujausikia mihimili uliojichimbia zaidi?. Kama katiba imekanyagwa then kuna sheria gani unayoizungumzia?. Hawa EU wanajifurahisha tuu mbele ya Magufuli, hapangiwi!.
P
Tatizo kuu la Tanzania na EU ni Mkataba wa kionevu wa EPA tuliokataa kuingia na kusababisha Nchi majirani walio tayari - Kenya na Rwanda kushindwa kuanza kutekeleza kwa kuwa Mkataba huo unataka Nchi zote kama Kundi (Block) kuingia mkataba.I can understand your perspective too....
Tuseme either way,EU ka-react baada ya kuingiliwa interests zake!
Na kama LBGT ni "interests" zake,basi yameguswa ndio maana wame-react accordingly..
Nadhani interests zao hasa ni economic and security interests kuna mahali jiwe kawaingilia,sasa walikua wanamtafutia pa kumkamatia,na ndio walipomshikia..Thats how I see it!
EU hana upendo mkubwa kiasi hicho cha kutetea haki za watoto wenye mimba,LBGTs,Lissu,etc..kuna mahali jiwe ka-cross their interest lines!
Acha uongo wako wewe, wabobezi gani wameondolewa? Ama wewe walioteuliwa na Kikwete ndio wabobezi?Wapo kwenye hatua ya awali ya mawasiliano rasmi. Kitakachofuata ni resolution, na mpango kazi. Vuta subira; nina hakika kibano ndicho kimetangazwa sasa. Ni mambo mengi sana ambayo yameifutia Tanzania sifa za ushirika na EU.
Pia nina hakika Jiwe halielewi kwa hiyo tutarajie kejeli na kauli za kukurupuka.
Waziri wake wa mambo ya nje na mambo ya kimataifa kilabu mingi sidhani kama atamshauri kama ipasavyo. Kaondoa wabobezi wa diplomasia kaweka maboya. Haya chacha
Rudia kisoma mzee labda unasumbuliwa na lugha ya malkia [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ni wendawazimu kusema tunakataa masharti yao wakati tulikwishasaini mikataba ya kukubaliana na hiyo mikataba ya haki za mashoga. Hivi hukuona walivyonukuu hiyo mikataba ambayo tumeridhia?
Hapa tunabanwa katika yale tuliyoridhia. Kama tulikuwa hatutaki ilitakiwa tusisaini kuliko kusaini halafu unagoma kutekeleza.
Hakuna sera za mtu kuna sera ya nchi. Hoja yako inathibitisha ulivyo mateka wa fikra za kichaa.Acha uongo wako wewe, wabobezi gani wameondolewa? Ama wewe walioteuliwa na Kikwete ndio wabobezi?
Kila Kiongozi anateua watu wanaomsaidia kutekeleza Sera zake, hao wabobezi wanaweza kuwa wazuri kwenye Sera za Kikwete na wakashindwa ku-deliver kipindi cha Magufuli. Na ndivyo ilivyo kwani tumewaona wengi waliokuwa wakionekana wazuri kipindi cha Kikwete leo wamegeuka kuwa vituko na wazururaji fulani tu.
Magufuli ndiye Rais anayeongoza kwa kuteua wabobezi serikalini mpaka watu wanalalamika kuwa, umekuwa Serikali ya wasomi tu. Acha unafiki ndugu.
Katiba ya kichaa labda, katiba yetu ilisiginwa na mfalme juha.Tuna katiba yetu.. Tanzania ni sovereign state inaendeshwa kwa mujibu wa katiba yetu na wala sio ya EU...