Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,579
Michuano ya Euro mwaka huu 2016 imekabiliwa na vurugu sana,tofauti na miaka ya nyuma ambapo mashabiki wa Uingereza walikuwa wakionekana wakilewa sana.Lakini mwaka huu imeonekana mashabiki wa nchi moja kupigana na wa nchi nyingine.Mfano Warusi na Waingereza wamepasuana sana mwaka huu.
Sekeseke hili limepelekea kuibuka kwa mzozo wa kidiplomasia ambapo Urusi imemrudisha nyumbani balozi wake anayeiwakilisha Urusi nchini Ufaransa.Lakini pia waziri wa mambo ya nje wa Urusi nae amejitokeza akiwatetea raia wa Urusi na amesema kabisa Ufaransa iache kuwakamatakamata raia wake (raia wa Urusi).
Swali nalojiuliza na nawauliza hapa wadau,je vurugu hizi ni shauri ya ushabiki wa mpira tuuu au kuna mambo ya kisiasa nyuma yake?au ndo ulevi tu?
Wassalam.