watu8, striking force? Timu ina striking force ya kutosha, CR7 (wa pili kwa wingi wa magoli kwa Ulaya nzima, katika msimu wa soka ulioisha) na Nani kama wakipiga kama wanvyokuwa kwenye klabu zao, basi sioni hiyo force kuiangusha Ureno. Kitakachoweza kuwaangusha ni viwango vya CR7 na Nani kuwa vibovu!Ureno anaangushwa na striking force
Ebana kuna refa nyuma ya goli..?????!!!!
Bonge. La goliiiiiiiiii
Na tayari wameanza kujuta. Kumbuka hawa Sub Champions wa World Cup, sasa ikiwa matokea yatabaki hivi hivi, tusubiri maajabu mengine zaidi katika mashindano haya.Sasa hivi Uholanzi watajutia nafasi zao.
Na tayari wameanza kujuta. Kumbuka hawa Sub Champions wa World Cup, sasa ikiwa matokea yatabaki hivi hivi, tusubiri maajabu mengine zaidi katika mashindano haya.
Denmark wakiwa wajanja wapaki bus