Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Hii mechi imeshaboa sasa. Hakuna ushindani. Italia utadhani wanacheza sindimba bana. Hata mshawasha wa kumaliza kuiangalia ushaisha.
 
Nipo Mkuu,kwa sasa tunaongoza, lakini kwenye mpira kutangulia sio kufika.

Hakika kutangulia sio kufika. Ingawa Italia walivyocheza kipindi cha kwanza,hawatoi matumaini.

Labda wajipange kweli katika kipindi cha pili.
 
Nipo Mkuu,kwa sasa tunaongoza, lakini kwenye mpira kutangulia sio kufika.
Kwa mpira wanaocheza Italy leo kuna hatari hata wakaongezwa la 3 maana kiungo kimepwaya na beki pale kuumia kwa Giorgio Chiellini ndio imekuwa inapwaya mpaka basi.....

Labda Coach Prandelli awaingize haraka Alessandro Diamante na Antonio Di Natale wanaweza kubadilisha mchezo....
 
Hii mechi imeshaboa sasa. Hakuna ushindani. Italia utadhani wanacheza sindimba bana. Hata mshawasha wa kumaliza kuiangalia ushaisha.

Tulia ngosha. Kama kufa ufe na tai shingoni.

Subiri kipindi cha pili,pengine mambo yanaweza kwenda vizuri kwa Italia.
 
Kwa mpira wanaocheza Italy leo kuna hatari hata wakaongezwa la 3 maana kiungo kimepwaya na beki pale kuumia kwa Giorgio Chiellini ndio imekuwa inapwaya mpaka basi.....

Labda Coach Prandelli awaingize haraka Alessandro Diamante na Antonio Di Natale wanaweza kubadilisha mchezo....

Midfield yao imepwaya
 
Hii mechi imeshaboa sasa. Hakuna ushindani. Italia utadhani wanacheza sindimba bana. Hata mshawasha wa kumaliza kuiangalia ushaisha.
Haaahaaahaaaaa! Pole sana mkuu, hebu jikaze uwasifie Spain hata kidogo maana mziki wao ndo umewachanganya jamaa zako!
 
GIZASCO wameshatutembelea hapa. Jana si waziri amesema sasa wana mbinu mpya, hivyo mgao na kukatikakatika hakutukuwepo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom