Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Balotelli anashoot......inapaa
Kwa style hii ubingwa ni wa Spain....Beki ya Italy imelala sana leo,pia viungo wakabaji Ricardo Montolivo na Daniele De Rossi wamepwaya.......Hata Pirlo leo hayuko kwenye form yake..Seriously naona chance ya Italy kushinda are getting slimmer by minute
Imeanza kuwa sawa...Kumbuka injini ya Spain ni Pirlo, De Rossi na Ricardo Montolivo.....Wakitulia hawa Spain watakuwa na kazi pale kati