Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 183
Game imedorora utafikiri siyo Euro! Hii ni game mbovu kabisa ya ufunguzi wa michuano ya soka niliyowahi kuona katika maisha yangu.
Full time and it's 1 - 1
Russia 4 - Czech Rep 1
Russia wameanza kwa vizuri, ina uwezekano wa kubakia wa mwanzo wa kundi A.
Du naona huyu Robert Lewandowski anatafuta nafasi kwa nguvu sana ndani ya MUFC.
Amefunga koli kwa ustadi mkubwa sana maana mpira unapigwa chini kwa kichwa.
Inanikumbusha Goli la Omam Biyik kwenye World Cup kati ya Cameroon vs Argentina ya Maradona.