Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

hii ndo itakuwa first time kwa kufunga kwenye semi since 1968
 
Hahahahah hujachelewa bana kuchagua bega...bado unaweza kuchagua bega la Italy na hivyo tukawa kipande moja kama jana lol!

Yaani Ujerumani naona wanaonyeshwa mpira leo..wapo fiti wataliano!! Tuone 90mnts

Game limetulia kweli!!
 
Mashabiki wa ujerumanh shukeni kwenye viti virefu mapema mkae kwenye makochi.
 
Kudadadeki Super Mario wa Italia anatoka kifua mbele dhidi ya mwenzake wa Germany...
 
Najua wengi sana tupo Ujerumani.... Hata mie ni Ujerumani.... Lakini for this first half lazima niwape Credit Waitaliano esp Super Mario for what they have done....
 
Super Mario ni balaaaaaaaaa magori ya huyu jamaa yanatisha kwa kweli!
 
"When I score, I don't celebrate because it's my job. When a postman delivers letters, does he celebrate?" Baloteli
 
Pirlo ni balaa...yaani anakuwa kama wine kadri muda unavyokwenda ndio anakuwa bora zaidi.Ozil is not seen anywhere on the field.
Super Mario Ballo naye yuko on fire,Montolivo is doing the dirty work cleanly and Cassano is pushing back the German defence to the full.
Forza Azzuri..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom