Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Super Mario

541585_468854543142158_1218285318_n.jpg
 
Mkuu Bantalanda unaonaje game unawapa Italy au Germany maana mimi tayari nimefanya approval kwa Italy kucheza na Span finali.

Italy/ Spain
 
"Only 1 team have won a Euro Championship match after they were 2 goals down by half time: West-Germany in 1976." - BBC
 
Wonderful save by Buffon...ukubwa dawa aiseee..but Germany keep on knocking on the door
 
Thiago Mota kiungo wa Paris St Germain ameingia badala ya Riccardo Montolivo.
 
Italy wamefanya mabadiliko...

Ricardo Montolivo ametoka,ameingia Thiago Motta
 
Lazima lile Gazette lililotoa katuni yake leo kesho watatoa nyingine...ila huyu jamaa ni mkali..
 
Mkuu Bantalanda unaonaje game unawapa Italy au Germany maana mimi tayari nimefanya approval kwa Italy kucheza na Span finali.

Italy/ Spain
Mimi nilitangaza tangu jana kuwa leo nipo Italy na thank God Italy wamenipa raha kwa kutumia ule mtindo wa 'Biashara asubuhi,jioni mahesabu'........Ngoma imeshalala hii.....Germany hawana chao......Final ni Spain na Italy
 
Di Rossi na Pirlo wameambiwa wakae ndani ya eneo lao na wasaidie mabeki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom