LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Super Mario ni balaaaaaaaaa magori ya huyu jamaa yanatisha kwa kweli!
Kwa kweli mpenda soccer hapaswi kuelezewa hili angetakiwa ajionee kwa macho yake na afurahie!
Super Mario ni balaaaaaaaaa magori ya huyu jamaa yanatisha kwa kweli!
Hata la pili ameshangilia na kuvua Jezi kabisa kisha akalambwa yellow.....Lakini goli ya kwanza ame shangilia
Usimsahau na mtaalamu a.k.a mvurugaji........Danielle De RossiPirlo ni balaa...yaani anakuwa kama wine kadri muda unavyokwenda ndio anakuwa bora zaidi.Ozil is not seen anywhere on the field.
Super Mario Ballo naye yuko on fire,Montolivo is doing the dirty work cleanly and Cassano is pushing back the German defence to the full.
Forza Azzuri..
What a miss by Philip Lahm...