for some reasons, wimbo wa taifa wa Ureno unanivutia sana...
itakuwa mechi nzuri inavyoelekea.
Ureno lazima afungwe leo..
hehehe unaanza kujihami siyo ππ mie hao wala siwafagilii, kwa hiyo kesho chama yangu ni Italy π
Bado mi naona game ipo tyt