Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Wachezaji wote wamechoka, na wakiingia muda wa nyongeza watachoka zaidi.
 
Bila shaka Italy wamemiliki mpira kipindi chote cha pili.
 
Uingereza kama wanataka kwenda extra time au ndo kuzidiwa?!
 
Hii game inaweza ishia kwenye penalty after ET.... ENG wote 11 wanadefend wanapokuwa hawana mpira....
 
Heheeeeeeeeeee.............

Johnson anawaokoa England.....Corner kick.........Inaokolewa
 
Jamaa yuko kwenye kiwango cha juu kweli...

Huyu jamaa wa Juventus ni kiungo wa kuaminika.

Ndie ameendesha mashambulizi yote ya Italy na kama sio Balotelli kupoteza nafasi na wengine basi Italy ilitakiwa iwe imefunga magoli si chini ya matatu.

Tuone kipindi cha pili kama hatakuwa amechoka.

Halafu mkuu ananikumbusha Robert Pires wa Gunners, always yupo busy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom