Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Oooi Oooi Wacha good kukusoma...mie nipo kiaina, naona wewe ulijichimbia wapi, Emirates nini?!! Eqlypz nae sijui nae niaje labda majukumu ya maisha! Mie kwa waliobaki nashabikia Germany na Spain.
Hiyo ndio ndoto yangu, tuje kukutana na German tuwape darasa ya EURO 2008 SP 1(Torres) = 0 GERMAN na WORLD CUP 2010 SP 1 (PUJOL) - 0 GERMAN.
 
Sasa Balotelli anataka kushindana na Ashley Young kupiga mbizi (diving)?
 
Hawa Italy watazijutia hizi nafasi zinazopotezwa na Cassano na Balotelli
 
There was no time wasted.... 1st 45 minutes are over....Its Half time....
 
Halftime...dk 45 zijazo, England wafanye yafuatayo, wampumzishe James Milner na nafasi yake apewe Chambaline,then wamtoe welback nafasi yake asimame walcot. Italy Baloteli ni mzigo,atoke na Di natale aingie...
 
Hapa tupo ukurasa mmoja kabisa kamanda...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom