Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Mimi leo nipo kama mtazamaji tu, nitashangilia timu itakayoibuka mshindi na kuwapa pole wataoshindwa kuendelea.
 
Ebwana eeeee.... What a shoot was that????? Nice play by Italy.....
 
Hahahahaaaaaaa... Wacha MOKO... Ulikuwa wapi kaka.... Mueleze BUBU.... Tatizo ni Media zao kuwapamba kuliko uwezo... Nakumbuka Lampard alipofunga lile goli WC2010 kwa Madiba na likakataliwa walichonga sana... Juzi kati wao walifungwa the same kind na UKRAIN Kimyaaaa..... They r so biased with their media... Acha leo watoke...

Mkuu msimu uliisha then Chelsick wakahonga pesa na kununua CL basi kelele za kina Invisible na Mungiki Brothers sikuziona na yule mwingine Peas of ants naona EPL ikianza wataingia tena kwenye coma na kuadimika khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wako kama kambale vile huonekana mvua ikinyesha .... ..... ...

BTW nipo bongo nakula kuku kidogo but soon nitakuwa kwenye makazi yangu rasmi na nitawalisha sumu hawa Chelsick khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee naona Manure wamepooza sana na mchezaji wao maarufu Young Diver chijui na yule mwingine Wine Romney atafanya nini leo mbele ya Super Mario.
 
Nice play.... England wamecreate a beautiful chance... But Italy has a G'Keeper back there.....
 
Tangu mashindano yameanza bado hakuna mchezo uliolazimika kwenda 120min. Pengine mchezo wa leo utakuwa na extra time.
 
Mechi nzuri sana hii...

England wameanza vizuri kweli.......Wanashambulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom