Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

SEMI-FINAL... SPAIN vs PORTUGAL Game itakuwa ngumu.
 
Hawa wafaransa hawaonyeshi hata kuumizwa na matokeo haya, ni kana kwamba walitarajia haya!!
Walitarajia maana kambini kulikuwa ni full vurugu......Waligombana mara baada ya mechi yao ya mwisho kwenye hatua ya makundi.....Nasri mwenyewe ni kama kalazimishwa kucheza,hakuna lolote alilofanya baada ya kuingia zaidi ya kupiga kona......Ufaransa na Uholanzi zimeponzwa na beef na mavurugu baina ya wachezaji na pia ukaidi wa makocha wao...
 
Mafanikio katika mashindano yoyote yale yanahitaji team discipline ya hali ya juu.
 
Walitarajia maana kambini kulikuwa ni full vurugu......Waligombana mara baada ya mechi yao ya mwisho kwenye hatua ya makundi.....Nasri mwenyewe ni kama kalazimishwa kucheza,hakuna lolote alilofanya baada ya kuingia zaidi ya kupiga kona......Ufaransa na Uholanzi zimeponzwa na beef na mavurugu baina ya wachezaji na pia ukaidi wa makocha wao...

Kwenye timu ni lazima pawe na wachezaji watu wazima ambao wanaweza kukemea jambo baina yenu wachezaji na mkamuelewa...
1. Abiati
2. Zambrota
3. Nesta
4. Yepes
5. Masimo Ambrosini
6. Mzee Seedorf
7. Van Bommel
8. Inzaghi
9 Gattusso

Woote hao ni above 30 so wana akili za kibaba kabsaaa.
 
wadau me nimesikitika juzi tu kwa wajerumani maan ndio nilikuwa siwataki kabisa..naomva itali wapite tu...
 
mimi ninaamini france bado wanajijenga coz huyu jamaa imebidi abadilishe team within 2years sema jana walikutana na team ambayo ni both european and world champions. The best team won. tunajua finals itakua spain vs germany unless yatokee maajabu ya dunia
 
...Mie leo niko kwa mama, hawa Italy siwafagilii kabisa lakini England kama hawatakuwa makini basi wanaweza kurudishwa kwao.
 
ENGLAND vs ITALY

TEAMS: England: Hart, Johnson, Cole, Terry, Lescott, Gerrard, Young, Parker, Rooney, Welbeck

Italy: Buffon, Balzaretti, Abate, Barzagli, Bonucci, Marchisio, De Rossi, Montolivo, Pirlo, Balotelli, Cassano
 
...Mie leo niko kwa mama, hawa Italy siwafagilii kabisa lakini England kama hawatakuwa makini basi wanaweza kurudishwa kwao.

Bak za masiku,
Natumaini leo ndio porojo zitaisha, nataka mafioso original wawabandike hawa England team warudi mikono mitupu maneno mengi sana hawa bora yaishe leo tuwe more focussed na timu imara.

BTW nitaanza leo rasmi kuangalia hizi mechi maana zimefika mahali patamu zaidi.

  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nilishasema mapema... Napenda kuiangalia ENG koz ina Gooners ndani... Ila uwezo wise hawana mbele ya ITA... So leo mie nipo ITA....
 
Bak za masiku,
Natumaini leo ndio porojo zitaisha, nataka mafioso original wawabandike hawa England team warudi mikono mitupu maneno mengi sana hawa bora yaishe leo tuwe more focussed na timu imara.

BTW nitaanza leo rasmi kuangalia hizi mechi maana zimefika mahali patamu zaidi.

Hahahahaaaaaaa... Wacha MOKO... Ulikuwa wapi kaka.... Mueleze BUBU.... Tatizo ni Media zao kuwapamba kuliko uwezo... Nakumbuka Lampard alipofunga lile goli WC2010 kwa Madiba na likakataliwa walichonga sana... Juzi kati wao walifungwa the same kind na UKRAIN Kimyaaaa..... They r so biased with their media... Acha leo watoke...
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibuwa ex italy coach mzee Ariggo Sacci, Italy hufanya vizuri pale usipotegemea..mie kama kawa leo nipo na ma-champion 2 b italy, almaarufu Azzuri. Nation athens ndo zinapigwa. Namwona Gigi buffon anawaongoza wenzake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom