Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Yaani leo France wanacheza hovyo kweli mpaka wanagongana wenyewe kwa wenyewe
Kachelewa....Hao wote aliowaingiza kama sub alipaswa kuwaanzisha,hasa kwa mechi ngumu kama hiiBlanc kaamua kutumia kila silaha alizonazo... Hii ni dalili ya KIFO....
Yaani leo France wanacheza hovyo kweli mpaka wanagongana wenyewe kwa wenyewe