Holland sasa lazima washinde baadae kamawanataka kusonga mbele.
Hili kundi noma.
mi ninamashaka uholanzi anatoka leo
Hili kundi kweli ni la mauti. Ningependa Holland waingie, lakini Ujerumani....mfupa mgumu.Holland sasa lazima washinde baadae kamawanataka kusonga mbele.
Hili kundi noma.
Itakua noma sana.
Naona kuna matatizo kwenye camp yao.
mkuu unajua link ya kuangalia games online kuna jamaa ananisumbua
Jamani watanzania wenzangu mie nipo hapa uwanjani ambapo game kati ya Portugal na Denmark inapigwa na kisa kikubwa cha Ronaldo kukosa goli yeye na kipa ni kuwa alivyogusa tu mpira mashabiki wa Denmark wakaanza kumtaja Lionel Messi hivyo Ronaldo akachanganyikiwa na kujikuta anakosa goli yeye na kipa.Ronaldo inabidi afanye kazi kumfikia Messi.Messi jumamosi kawapiga Brazil goli 3 peke yake.