yaani useless kabisa Nederland. Bila bidii watatoka! Germany ngome yao si mchezo!
wamenikata stimu wadachi..anyway tusubiri dk.90 zikamilike!
Kwisha kabisa, nimeliwa hela yangu mapema mno.
BJ bana....... hahahahahahahahahahaaaaaaaa,,,..... Umemuona GOMEZ????????
Wanaboa sana. Kocha wamtimue
Acha tu Questt nime-give up, yaani mbuziiii wadachi!! Gomez mkali aisee, huh!!
Bet nimeshaliwa sina hamu aroo!
Ulebet????? hahahahahahaaa.... kaka mi nakujua huwa sio mtu wa kuingia Chaka kuhusu Choice.... Imekuaje leo??? pole sana !!! hahahahahahahaaaa
Mkuu wa dachi wako poa, kocha tu ndio kawaangusha na kiburi chake
Pole sana. Labda watapiga mangumi half time na kuja kufanya maajabu
Usikate tamaa mkuu, mpira ni dakika 90, pegine kocha wa Holland ataona kosa lake na kusahihisha.Kwisha kabisa, nimeliwa hela yangu mapema mno.
Na iwe hivyo. Mie natoroka kidogo, nitarudi baada ya mechi. Uzalendo umenishinda OX!!
Poa, mie naombea draw sasa.
akizubaa uholanzi atatoka kwenye mashindano na bao moja tu... ujerumani kaka ni mashine nyingine hii sijaona weakness yao ...
Poa, mie naombea draw sasa.