Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
leo watapigwa nyingi hawa wagiriki hadi uchumi wao ukae sawa
Hahahahaaaaaa... Bado mapema kaka.... mpira unadunda huu......
leo watapigwa nyingi hawa wagiriki hadi uchumi wao ukae sawa
lakini ma black sisi wabishi kuna namuona najamaa anachezea czech.. jamaa kama mpemba flani[/QUOTE
Gebre Selassie's father Chamola is Ethiopian, and came to Czechoslovakia as a doctor when both nations were under communist rule. His mother is Czech. Gebre Selassie has a younger sister named Anna who plays for the Czech Republic at handball.

ohh ok! i see
lakini ma black sisi wabishi kuna namuona najamaa anachezea czech.. jamaa kama mpemba flani
Wenger amechangia sana kupunguza kasi ya Arshavin,nakumbuka wakati anakuja Arsenal jamaa alikuwa mkali sanaHivi kwanini Wenger hakutaka kumtumia Arshavin kati pale. Baada Fabregas kuondoka? Naona anacheza vizuri sana kati akiwa na timu yake ya taifa kuliko akicheza pembeni kama anavyocheza Arsenal.
Pasi zake nzuri sana.
Poland v Russia
![]()
TEAMS - Poland: Tyton, Piszczek, Wasilewski, Perquis, Boenisch, Dudka, Polanski, Blaszczykowski, Murawski, Obraniak, Lewandowski;
Subs: Sandomierski, Wojtkowiak, Kaminski, Matuszczyk, Rybus, Wawrzyniak, Sobiech, Mierzejewski, Wolski, Grosicki, Brozek
Russia: Malafeev, Aniukov, Berezutsky, Ignashevich, Zhirkov, Shirokov, Denisov, Zyryanov, Dzagoev, Kerzhakov, Arshavin;
Subs: Akinfeev, Sharonov, Izmailov, Pavlyuchenko, Kombarov, Kokorin, Granat, Pogrebnyak, Nababkin, Glushakov, Semshov, Shunin
Wenger amechangia sana kupunguza kasi ya Arshavin,nakumbuka wakati anakuja Arsenal jamaa alikuwa mkali sana
Wenger amechangia sana kupunguza kasi ya Arshavin,nakumbuka wakati anakuja Arsenal jamaa alikuwa mkali sana