BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Siwafeel France kweli kweli..
kanasri kataongea hadi basi
kaka acha ndoto zako za mchana,spain kwa sasa hakuna taifa la ulaya linaloiweza labda ktk mechi za kirafiki,alonso,iniesta,xavi,busquets na fabregas waogope wakisikia kuna el clasico ndio mtawafunga,shukuruni nyie pirlo ndio anawasaidia,sisi namba 1 nyie 2,spain ni bora.spain leo mmeomba poo.
sasa tutakutana huko mbele ya safari ndio mtawajuwa Buluda.
Greece