BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
asante sana, naona wanaonyesha matangazo ya biashara
Sasa hivi HT wanaonyesha matangazo lakini wameonyesha 45 minutes za kwanza na wataonyesha pia kipindi cha lala salama....Wameanza kuzungumzia performance ya timu zote kipindi cha kwanza.