Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

BelindaJacob nafurahi kukuona umesharecover na matokeo ya jana. Nadhani mitaa ya huko ilikuwa imepoa sana kama kuna msiba...Pole sana

Asante BAK tulijua tungewamaliza kirahisi wale jamaa kumbe wapi. Na kama ulijua palipoa sana baada ya game!! Halafu kwenye bet nilitabiria wangeshinda holaaa, khaah nikaliwa!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Asante BAK tulijua tungewamaliza kirahisi wale jamaa kumbe wapi. Na kama ulijua palipoa sana baada ya game!! Halafu kwenye bet nilitabiria wangeshinda holaaa, khaah nikaliwa!!

...Mie pia nilidhani wangeshinda maana ni moja ya timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kuchukuwa Euro Cup mwaka huu lakini natumai watafanya vizuri katika michezo ijayo na kufika mbali na labda hata kuchukuwa kombe maana timu ina wacheza wazuri wenye uwezo wa kuifunga timu yoyote ile duniani....Pole kwa kuliwa kwenye kubet mie huwa nabet sana kwenye NFL nimeshazifuma nyingi tu mwaka jana nilikosa bulungutu kwa kukosea matokeo ya mchezo mmoja tu kati ya michezo 15.
 
Toresssss ana bahati mbaya sana. Kulikua na mtu kulia angemaliza game sema ndio kazi ya striker kujaribu muhimu.
 
Mie bado naendelea na utabiri wangu wa Holland kuchukua ubingwa wa mashindano haya.

Watajirekebisha.
 
article-2156964-138B4845000005DC-673_634x410.jpg

Wasted: Balotelli (left) blew a great chance to fire Italy ahead when he was tackled by Sergio Ramos



article-2156964-138B5664000005DC-276_634x286.jpg

Super sub: Antonio Di Natale came off the bench to fire Italy ahead


article-2156964-138B553C000005DC-597_634x379.jpg


article-2156964-138B5B89000005DC-193_634x437.jpg

Fab response: Spain equalised through Cesc Fabregas four minutes after going behind


article-2156964-138B5C8D000005DC-107_634x417.jpg


FINAL SCORE SPAIN 1-1 ITALY

COMING UP 21:45 EAT

REPUBLIC OF IRELAND vs CROATIA
 
spain leo mmeomba poo.
sasa tutakutana huko mbele ya safari ndio mtawajuwa Buluda.
 
TEAMS - Ireland: Given, O'Shea, Dunne, St. Ledger, Ward, Duff, Andrews ,Whelan, McGeady, Keane, Doyle

Croatia: Pletikosa, Srna, Corluka, Schildenfeld, Strinic, Rakitic, Vukojevic, Modric, Perisic, Mandzukic, Jelavic

3' GOAL! Mandžukic nods into the goal from 12 yards out. Given is wrong footed and he can't get back across his goal to save. Croatia grab the lead. A soft, soft goal to concede

 
19' GOAL! St Ledger rises to head home from McGeady's free-kick and the Irish are level. Brilliant move. Ireland celebrate. Back in this match.
 
42' GOAL! Jelavic chips the ball over Given and Croatia are ahead. Ward makes a mess of a clearance. A 2-1 lead. 11 goals in 16 games since he joined Everton. One goal here. Irish all over the place.
 
48' GOAL! Mandžukic heads into the corner of the net and Croatia lead 3-1. Ball hits a post and comes back off Given's head before nestling in the goal.
 
Mie bado naendelea na utabiri wangu wa Holland kuchukua ubingwa wa mashindano haya. Watajirekebisha.
Ijapokuwa Spain haikucheza vizuri leo zaidi kwa formation ya kocha ya kubahatisha, bado ninamatumaini nayo makubwa. Kwa kujipa moyo, mechi ya mwanzo kwenye World Cup walifungwa na Sweden na bado wakachukua kombe.
"Dreaming is free of charge".
 
Ijapokuwa Spain haikucheza vizuri leo zaidi kwa formation ya kocha ya kubahatisha, bado ninamatumaini nayo makubwa. Kwa kujipa moyo, mechi ya mwanzo kwenye World Cup walifungwa na Sweden na bado wakachukua kombe.
"Dreaming is free of charge".

Final holland vs Spain ndio utabiri wangu wa hela.

Na nimesema holland wanachukua ubingwa kwahio najipa moyo nishinde hela. Lol
 
Final holland vs Spain ndio utabiri wangu wa hela.

Na nimesema holland wanachukua ubingwa kwahio najipa moyo nishinde hela. Lol
Kwa kweli ikiwa final wataingia Spain na Holland, uwezekano wa Holland kuchukua kombe naupa 75%, kwani hawa walikuwa favourite kwenye final za W.Cup lakini bahati ikawaangukia Spain. Mimi siku"bet", kwa hivyo kila la heri.
 
Kwa kweli ikiwa final wataingia Spain na Holland, uwezekano wa Holland kuchukua kombe naupa 75%, kwani hawa walikuwa favourite kwenye final za W.Cup lakini bahati ikawaangukia Spain. Mimi siku"bet", kwa hivyo kila la heri.

Asante. Sema itakua ngumu sana.
 
There goes the final whistle! A 3-1 win for Croatia. A comfortable win. Croatia go top of Group C with three points.
article-2157306-138BD522000005DC-223_634x395.jpg


No stopping that one: Shay Given can't get to the ball to prevent it going in

article-2157306-138BD878000005DC-560_634x412.jpg


Different views: Jelavic celebrates as Given appeals for offside



MONDAY 11 JUNE 201
[TABLE="class: fixtures-results"]
[TR="class: fixture"]
[TD="class: ko"][/TD]
[TD="class: pool"][/TD]
[TD="class: match"]France v England 19:00 EAT
[/TD]
[TD="class: venue"]


[/TD]
[/TR]
[TR="class: fixture alt"]
[TD="class: ko"][/TD]
[TD="class: pool"][/TD]
[TD="class: match"]Ukraine v Sweden 21:45 EAT
[/TD]
[TD="class: venue"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Balotelli suffers racist abuse as Spaniards aim monkey chants at Italy striker

Mario Balotelli was racially abused during his side's Euro 2012 opener as hundreds of Spain fans made monkey noises at the Italy striker.
Just days after reports of the Holland team being on the receiving end of vile abuse during a training session in Krakow, the latest race storm has overshadowed Italy's 1-1 draw with the reigning champions.
Balotelli, who had a frustrating hour on the pitch before being substituted, threatened before the tournament to walk off if he was abused during a match.

article-2157538-138BA6C5000005DC-188_634x417.jpg


Singled out: Mario Balotelli (right) suffered racist abuse before he was subbed as Italy drew with Spain.

 
a surprise so far was the holland defeat by denmark. Euro is tough man kila timu imekaza buti, leo england wanafungwa watake wasitake...
 
Spain inasingizia "uwanja haukutiliwa maji" kuwa ndio sababu ya kutofanya kwake vizuri jana na kupuuza kuwa formation ya kocha jana ilikuwa mbovu.

Lazima kuwepo na mchawi ka kila jambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom