MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Kusema kweli mchezo wa tic-tac wa Spain siupendi, na pia kama mchezaji hayuko uso kwa uso na golkipa hawana kujaribu kicks za mbali.Spain mbona hawana forwards ,...??? Strategy gani wanatumia
Kusema kweli mchezo wa tic-tac wa Spain siupendi, na pia kama mchezaji hayuko uso kwa uso na golkipa hawana kujaribu kicks za mbali.Spain mbona hawana forwards ,...??? Strategy gani wanatumia
Kocha naona kaamua kum-disrespect Torres na Chelsea . Yani kamwambia japo David Villa kaumia, kiwango chake hakijafikia kupata namba pale mbele. Yani ana midfielder ambao wazuri pale mbele kushinda yeye ambae. Ni. Forward.
kaka hawa jamaa wanahitaji forward ili washinde nadhani...
Msiwe na hofu punguzeni kisebusebu jamani mda ukifika lazima huyu muitaliano achinjwe kesha elekezwa kibra.Twasubiri sara ya mwisho ya papa toka roma tusijeharakisha kumchinja ikaonekana ni kibudu.
Match ya leo haitabiriki hii!!
Baloteli tabia yake inachangia watu kumchukia.
Huyu jamaa ana matatizo na hii inaweza kuikosti timu!
Mpira starehe jamani siyo magori
Kucheza vizuri ni bora, lakini kufunga ni bora zaidi.Mpira starehe jamani siyo magori
Mpira starehe jamani siyo magori
Mpira starehe jamani siyo magori
Kwa wale ambao hawawezi kuiona mechi hii kwenye TV wajaribu hii link. Enjoy the game.
Spain vs Italy Live Stream Online
Sana tu. Makocha wengine wanajitakia, huyo kwa tabia yake hafai kupewa namba