by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Brazil 3 vs argentina 4 mess katupia 3
kamandaWakuu ktk kufuatilia sana haya mashindano ya Euro na zile build ups zake haswa kuhusu mambo ya uracist na kuchukia wageni ambao umekithiri ktk hizi nchi, nimeikuta hii ya huyu raia wa Spain aliyeuliwa jana huko Ukraine
Source EA Forums
Hao walipiga kelele South africa tu ujambazi na ubakaji ila haikutokea wao Russia wamempiga kwanza walinda uwanja mpolish jengine huyo m spain watakuwa wameuwa pengine wamefikiri Muhindi au Mwarabu wazungu mazambi yao hupenda kuyaficha zingefanya nchi zengine za Africa au Arabs au south america News zinazagaa tu kwa ubaya.
france v. england. wapi karata yako?
Spain mbona hawana forwards ,...??? Strategy gani wanatumia
Forza Italia...Forza Azzuri!
Spain mbona hawana forwards ,...??? Strategy gani wanatumia