Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

ZUKU nako hakuna kitu, mozambique tv nayo hola.
 
Didn't see this coming, matokeo ya mechi iliyopita yamelifanya kundi hili tata tata zaidi... Tillykke Danmark!!
 
Wakuu ktk kufuatilia sana haya mashindano ya Euro na zile build ups zake haswa kuhusu mambo ya uracist na kuchukia wageni ambao umekithiri ktk hizi nchi, nimeikuta hii ya huyu raia wa Spain aliyeuliwa jana huko Ukraine

Source EA Forums
 
tune to ZBC Zanzibar Brodicasting Coporation via TING or Easy Tv.
 
Kwa nini kocha kamweka benchi Klose? Huyu Gomez simuamini kabisa
 
Kwa nini kocha kamweka benchi Klose? Huyu Gomez simuamini kabisa
German 1 M. Gomez - 0 Portugal
Futa kauli yako. Kocha alikuwa tayari kumtoa na amepachika goli. Sasa akitolewa Gomez atatoka shujaa!
 
Gomez kaamua kuondoa nuksi
 
Hili Group B ni gumu aisee...Waholanzi duh, hopeless! na kweli Robben mchoyooo hata mechi ya uefa nilimfuatilia sana..

Ujerumani 1-0 Portugal mpaka sasa dk.81
 
ATN & UBC wote matapeli, wametukosha kuona burudani leo. Hata jana ATN kwa nini waliishia kutuonesha mechi moja?
wao si walijifanya vidume wa kuonesha kandanda, wavunje vipindi vyao watu tuone kabumbu.
 

Wasteful: Van Persie had a bad day at the office


Ain't that a kick in the head? Agger challenges Van Persie



Case for the defence: Agger and Kjaer were outstanding for the Danes

Holland 0 Denmark 1: Wasteful Dutch punished by Krohn-Dehli strike

 
Germany 1 Portugal 0: Gomez takes his time but eventually delivers to solve close battle


Super Mario: Mario Gomez celebrates after netting the only goal of the game


Stepover king: Cristiano Ronaldo was frustrated by the German defence



Pulling the strings: Mesut Ozil

Not this time: Raul Meireles' attempted tackle is easily evaded




 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…