Sidhani kama umbo la mtu hasa makalio yanasababishwa na sehemu alikotoka, ni umbo tu la mtu.
Mbona wanawake wa Kichaga hususan wa Kimachame wengi ni Flat Screen, awana neema za Allah?
Mbona wanawake wa Kichaga hususan wa Kimachame wengi ni Flat Screen, awana neema za Allah?
Wapo baadhi wako vizuri lakini japo wengi wanamiguu ya redbull kutokana na kupanda milima kutokana na geographia ya eneo wanalotoka, sasa kuhusu flatscreen labda waje waseme wanapenda kukalia nini?
duuuh vp waarabu1.manyema 2.iramba 3.nyakyusa 4.sukuma 5.nyamwezi 6.. 7.... ! 101.chagga
Wanyakyusa bhana..ni balaa wale...