Eti wanawake wa JF especially MMU, wana AKILI nyingi kuliko Wananaume wa JF esp MMU!

Sijui hata nina likes ngapi mie na wala sijui kama zinatoka kwa Me au kwa Ke.
Kukusaidia mtoa mada kuanzia leo mtu akinipa like nitammuliza sababu ya ku like,akijiuma uma nampa dakika 5 awe amesha unlike!!!!
 
wapo wamaostahili like ila wengine wanume mbwebwe za wanaume, ila kuna kundi kubwa la wanaume wanashinda siasani huko ukipewa like 5 unakula na ban mwezi
 
Sijui hata nina likes ngapi mie na wala sijui kama zinatoka kwa Me au kwa Ke.
Kukusaidia mtoa mada kuanzia leo mtu akinipa like nitammuliza sababu ya ku like,akijiuma uma nampa dakika 5 awe amesha unlike!!!!

Nimekugongea Like na ulogwe kuniuliza utanitambua.....lol!
 
Binafsi naona kama LIKE zimepoteza maana

Kuna watu wanalike kwa sababu tu wanamipango yao kwa wahusika
Wengine wanalike kwa sababu wanawazimia wahusika[hili linawahusu hata wanawake pia]
Wengine wanafanya hivyo kwasababu wameguswa na point za wahusika
Wengine wanafanya hivyo kwasababu tu kuna like
Wengine wanafanya hivyo kwasababu ni jinsia fulani[hili ndio linawafanya wanawake kuwa na like kibao]

Kwa kifupi sababu ziko byingi lakini nyingi sio za msingi!
 
Tatizo zako zimekuwa nyingi mpaka nimezizoea!! lol
Eiyer nini kimekufanya u like post yangu? Naomba maelezo vinginevyo u unlike asap kabla Mashaxizo hajaiongeza kwenye idadi ya likes anazonihesabia

Nimekulike kwasababu nakutamani sana na ninaka mpango ka kukutongoza.....lol!

Mbona hata like zako zimekuwa nyingi hadi nikiziona nakasirika au na wewe unanitamani.....lol!!
 
Nimekulike kwasababu nakutamani sana na ninaka mpango ka kukutongoza.....lol!

Mbona hata like zako zimekuwa nyingi hadi nikiziona nakasirika au na wewe unanitamani.....lol!!

Sikujua unakasirika baba Paroko na wala sijawahi kukutamani huwa nalitamani hilo koti kwenye avatar tu! lol
 
Sikujua unakasirika baba Paroko na wala sijawahi kukutamani huwa nalitamani hilo koti kwenye avatar tu! lol

Si useme tu ukweli bana?
Huwa kila siku unaota kunihifadhi hapo kati...looooooooooooooollllllll!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Si useme tu ukweli bana?
Huwa kila siku unaota kunihifadhi hapo kati...looooooooooooooollllllll!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kitufe cha ku report abuse kiko wapi?
Unastahili ban kuanzia parokiani
 
Back
Top Bottom