Eti wanawake wa JF especially MMU, wana AKILI nyingi kuliko Wananaume wa JF esp MMU!

Mkuu nadhani umeamua kuchokoza majambo fulani.
Nadhani likes hutolewa kwa malengo tofauti mojawapo ni michango murua, siamini hata wangeongoza wanaume kingekuwa kigezo cha wao kuwa na akili. Kiasi kikubwa nikikupa likes nimevutiwa na mchango wako, cna muda wa kudowea mtu mtandaoni kupitia avatar na maandishi.
 
Duh!!! hivi kumbe kuna vidume wanatumia neno "wangu"? kazi kweli kweli

Aisee,kuna vijana wa kiume kabisa huwa wanatumia hiki kijineno mara utasikia "wangu" mara utasikia "myn"basi nikishaona hivyo hata hiyo text sijibu.
 
Back
Top Bottom